Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Wapewa Midoli Ya Ngono

Muungano wa wanafunzi wa chuo kikuu nchini Canada wamepatwa na mshangao pale walipopokea mzigo wa kushangaza wa vifurushi vya midoli ya...


Muungano wa wanafunzi wa chuo kikuu nchini Canada wamepatwa na mshangao pale walipopokea mzigo wa kushangaza wa vifurushi vya midoli ya ngono mpaka taa.
Mizigo isiyotarajiwa iliyotumwa kupitia kampuni ya Amazon kwa watu zaidi ya kumi katika jumuiya hiyo ya wanafunzi.
Kuna ambao wamepokea mizigo mingi kama vifurushi 15 tangu mwezi Novemba,inayogharimu kiasi cha dola 1,000 kwa jumla.
Wengi walidhani kuwa ni mapambo yenye gharama kubwa lakini polisi wameanza uchunguzi juu ya suala hilo.
Inasemekana kuwa mizigo hiyo inaweza kuwa ni njama za kibiashara kutoka nchini China.
Mizigo hiyo iliyojumuisha chaja za simu,taa,simu aina ya ipad pamoja na midoli kadhaa ya ngono.
Amazon wamesema kuwa hawawezi kuzichukua bidhaa hizo ,kwa kuwa zililetwa katika daraja la tatu .Aidha Kampuni hiyo imesema itafanya uchunguzi lakini imewaambia wanafunzi kuwa haiwezi kutaja taarifa za mtu aliyefanya manunuzi kwa sababu ni za siri.
Rais wa muungano wa wanafunzi ametaja kuwa kupokea mzigo huo ni jambo linalostaajabisha sana.
Na kudai kuwa kwanza alidhani labda mzigo huo ni kwa ajili ya mfanyakazi wa chuo ndio ameagiza na anaona aibu kuudai,lakini alipobaini kuwa mzigo umeandikwa kwa ajili ya jumuiya ya wanafunzi nchini Canada, wakasema sawa,baada ya kusikia kuwa kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepokea hivyo wakaona kuwa na kuna jambo linaloendelea.


 Chanzo-BBC

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Wapewa Midoli Ya Ngono
Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Wapewa Midoli Ya Ngono
https://2.bp.blogspot.com/-T4UeFd2n_jo/Wn783dg8hQI/AAAAAAAABxE/qTaR5Do6l1EpwdWRd5KlJ3jSOqURAARPACLcBGAs/s640/ngono.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-T4UeFd2n_jo/Wn783dg8hQI/AAAAAAAABxE/qTaR5Do6l1EpwdWRd5KlJ3jSOqURAARPACLcBGAs/s72-c/ngono.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/wanafunzi-wa-chuo-kikuu-wapewa-midoli.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/wanafunzi-wa-chuo-kikuu-wapewa-midoli.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy