Trump amchimba mkwara mzito Oprah Winfrey kuhusu kugombea urais Marekani

Rais wa Marekani, Donald Trump amewatoa hofu wafuasi wake  baada ya tetesi kuwa huenda mwanamke Mjasiriamali, Oprah Winfrey atajitupa kwe...

Rais wa Marekani, Donald Trump amewatoa hofu wafuasi wake  baada ya tetesi kuwa huenda mwanamke Mjasiriamali, Oprah Winfrey atajitupa kwenye kinyang’anyiro cha urais wa nchi hiyo mwaka 2020.

Trump amesema anamfahamu sana Mwanamama huyo na ni moja ya watu ambao huwa anafuatilia viindi vyake ingawaje huwa anaboreka na namna ya uuliza maswali yake kwa wageni anaowaalika kwenye show zake huku akipindisha baadhi ya ukweli wa mambo.

Nimemtazama Oprah Winfrey mtu asiyekuwa madhubuti, ambaye kwa upande mmoja namfahamu vizuri, nimekuwa nikimtazama akifanya mahojiano na watu wengi kwa dakika 60. Maswali yake yamekuwa ya upendeleo, yamekosa mwelekeo na amekuwa akipindisha ukweli, natumaini Oprah anaweza akajitokeza na kugombea urais na nitamshinda kama nilivyowafanyia wenzake,“ameandika Trump kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Mwishoni mwa mwaka jana Oprah wakati akitoa hotuba yake katika ugawaji wa tuzo za Golden Globe aliushitua ulimwengu baada ya kutangaza kuwa  anaweza akagombea Urais wa Marekani mwaka 2020.


Hata hivyo, baadaye Oprah kupitia kipindi chake cha ‘Daytime Talk Show’  alikuja kukanusha uvumi huo kwa kusema kuwa alitania tu ili kunogesha hotuba kwani kazi hiyo haipo kwenye damu yake.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Trump amchimba mkwara mzito Oprah Winfrey kuhusu kugombea urais Marekani
Trump amchimba mkwara mzito Oprah Winfrey kuhusu kugombea urais Marekani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjj13mq40_crtrjjwOpHpE7MjL8PLq8c2-ua__lPqbIU0egKjJQ4H5nN-L6QS71fNKzE9aTxnhZm3YgcO8VeRLJFe53CTLz63iUH5lmLKz4wNEKbwMwm7JclYxOHZznLnvncLef1T8HgMcZ/s640/GettyImages_870730432.0.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjj13mq40_crtrjjwOpHpE7MjL8PLq8c2-ua__lPqbIU0egKjJQ4H5nN-L6QS71fNKzE9aTxnhZm3YgcO8VeRLJFe53CTLz63iUH5lmLKz4wNEKbwMwm7JclYxOHZznLnvncLef1T8HgMcZ/s72-c/GettyImages_870730432.0.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/trump-amchimba-mkwara-mzito-oprah.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/trump-amchimba-mkwara-mzito-oprah.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy