Msanii mpya wa WCB, Malomboso aka Mbosso ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nimekuzoea’. Huu ni wimbo wa pili kwa msanii huyo ku...
Msanii mpya wa WCB, Malomboso aka Mbosso ameachia video ya wimbo wake
mpya uitwao ‘Nimekuzoea’. Huu ni wimbo wa pili kwa msanii huyo kuuachia
tangu alipotambulishwa rasmi kujiunga na WCB January 28 ya mwaka huu.
COMMENTS