Ajifungua Mtoto Kwenye Korido HOSPITALINI

Jesica akiugulia uchungu katika korido ya hospitali. …Akisaidiwa na manesi. Mtoto akiwa amezaliwa salama-salimini.  ...


Jesica akiugulia uchungu katika korido ya hospitali.


…Akisaidiwa na manesi.


Mtoto akiwa amezaliwa salama-salimini.


 …Akiwa amelala chini, amejifungua.


 Travis akifurahia kichanga chake.


Jesica na Travis wakipongezana.


Mtoto, Max, akiwa na afya njema.


Jesica na Travis wakiwa na binti zao sita wanaofurahia kumpata kaka yao.

JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido ya hospitali ambayo alikuwa anawahishwa kwenda kujifungua.

Mtoto huyo aliyeleta furaha katika familia hiyo ambayo ilikuwa na mabinti mtupu, anaitwa Max, ambaye alizaliwa akiwa salama na mwenye afya njema.

Mwanamke huyo aliyejifungulia katika Hospitali ya Via Christi, ya Manhattan, Kansas, alisema alikuwa hana uhakika wa tarehe ya kujifungua, hivyo hakujua ni lini uchungu ungelianza.  Alikuwa nyumbani wakati chupa ilipovunjika kunako saa tisa usiku ambapo mumewe, Travis, alimkimbiza hospitali.

Mara tu baada ya kuingia katika korido ya hospitali hiyo, Jesica alihisi mtoto alikuwa ameanza kutoka, hivyo akaanza kuvua suruali yake wakati kichwa cha mtoto kilianza kujitokeza.  Walianza kusaidia na mumewe hapohapo kwenye korido ambapo alilala chini kabla ya manesi kuja na kumsaidia.


“Nilikuwa sifahamu hasa siku halisi ya kujifungua, lakini siku hiyo nilijua imefika, nikamwambia Travis naye akaamua kunikimbiza hospitali.” anasema Jesica ambaye anasema alisahau hata kuvaa viatu kwa ajili ya uharaka. 


COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Ajifungua Mtoto Kwenye Korido HOSPITALINI
Ajifungua Mtoto Kwenye Korido HOSPITALINI
https://2.bp.blogspot.com/-975nyS32Xao/WnxzzUTjT7I/AAAAAAAABS4/EMFKPkraYpUXgad0pD36I9TnGvcR9GBFwCLcBGAs/s640/toto%2B1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-975nyS32Xao/WnxzzUTjT7I/AAAAAAAABS4/EMFKPkraYpUXgad0pD36I9TnGvcR9GBFwCLcBGAs/s72-c/toto%2B1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ajifungua-mtoto-kwenye-korido.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ajifungua-mtoto-kwenye-korido.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy