Akina Mama Wanaokwepa Kunyonyesha Watoto Kuundiwa Sheria Kali

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Rehema Nchimbi amewataka viongozi wa vijiji na kata mkoani humo kuhakikisha wanatunga sheria ndogo ya kunyony...

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Rehema Nchimbi amewataka viongozi wa vijiji na kata mkoani humo kuhakikisha wanatunga sheria ndogo ya kunyonyesha ndani ya miezi minne ili kuondokana na tatizo la ukosefu wa lishe kwa watoto.


Dkt. Rehema Nchimbi

Dkt Nchimbi ametoa agizo hilo Juzi Ijumaa kwenye hafla ya kukabidhiwa vifaa vya kutambua hali ya lishe kwa watoto na akinamama wajawazito katika kijiji cha Saranda wilayani Manyoni.
Kunyonyesha ni lazima, Wenyeviti wa vijiji na kata hakikisheni mmetunga sheria ndogo kwa ajili ya kudhibiti akinamama wote wasionyonyesha watoto wao kulingana na taratibu za afya,”amesema Dkt. Nchimbi.

Mhe Nchimbi amelazimika kutoa agizo hilo baada ya kusomewa taarifa inayoonesha kuwa ni asilimia 54 pekee ya watoto mkoani Singida ndio hubahatika kunyonyeshwa maziwa ya mama pekee kwa kipindi cha miezi sita.

Akisisitizia suala hilo Dkt. Nchimbi amesema kuwa ulazima huo usibakie kuwa ni wa majukwaani tu bali utekelezwe kisheria na atakayepatikana aadhibiwe, hata hivyo, mhakikishe adhabu hiyo haisababishi mama kumkimbia mtoto.


Chanzo: Habari Leo

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Akina Mama Wanaokwepa Kunyonyesha Watoto Kuundiwa Sheria Kali
Akina Mama Wanaokwepa Kunyonyesha Watoto Kuundiwa Sheria Kali
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4V6CSQRrBdrbr1j1UUjU9GK8tlGL-NLvgkSKwiXuU7scuxm1wO9SFOejLa6v0OFtFBIG6qHGf6sX-FzZN0MbiAT7ZJG1vA7u6c86LI5wNil59GRqIUJ6YYxMP5cUEVqLAQCXZ8ieQ_r7d/s640/MAGU-3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4V6CSQRrBdrbr1j1UUjU9GK8tlGL-NLvgkSKwiXuU7scuxm1wO9SFOejLa6v0OFtFBIG6qHGf6sX-FzZN0MbiAT7ZJG1vA7u6c86LI5wNil59GRqIUJ6YYxMP5cUEVqLAQCXZ8ieQ_r7d/s72-c/MAGU-3.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/akina-mama-wanaokwepa-kunyonyesha.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/akina-mama-wanaokwepa-kunyonyesha.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy