ALEX IWOBI Na WIZKID Wazitambulisha Jezi Za Timu Ya Taifa Zilizo Tengenezwa Na Kampuni Ya NIKE

Timu ya taifa ya mchezo wa mpira ya nchini Nigeria iitwayo Super Eagles wazindua jezi zitakazo tumika katika Kombe la Dunia 2018 . Jezi ...


Timu ya taifa ya mchezo wa mpira ya nchini Nigeria iitwayo Super Eagles wazindua jezi zitakazo tumika katika Kombe la Dunia 2018 . Jezi hizo zimezinduliwa rasmi na kampuni ya Nike pamoja na Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF).


Nike kwa sasa ndiyo kampuni rasmi inayodhamini timu hiyo ya taifa la Nigeria.
Mtengenezaji wa jezi hizo aliziwasilisha jezi hizo kwa NFF kwenye sherehe iliyo fanyika huko jijini London siku ya jana Jumatano.


Jezi Super Eagles zitakazo tumika kwenye Kombe la Dunia la mwaka huu zilivaliwa kwa mara ya kwanza na mshambuliaji wa timu ya Arsenal Alex Iwobi pamoja na mwanadada Sophia Omidiji aliyevaa jezi za timu ya wanawake la taifa hilo Super Falcons.


Timu ya Super Eagles itakutana uso kwa uso na timu ya Argentina, Croatia na Iceland katika kikundi D kwenye Kombe la Dunia litakalo fanyika juni mwaka huu.


COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: ALEX IWOBI Na WIZKID Wazitambulisha Jezi Za Timu Ya Taifa Zilizo Tengenezwa Na Kampuni Ya NIKE
ALEX IWOBI Na WIZKID Wazitambulisha Jezi Za Timu Ya Taifa Zilizo Tengenezwa Na Kampuni Ya NIKE
https://1.bp.blogspot.com/-C0RibZ0WYzE/WnxtZUbT66I/AAAAAAAABRA/QnCs78paZMMOc0YuLpxsmGjaQBiOucu4QCLcBGAs/s640/wiz%2B1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-C0RibZ0WYzE/WnxtZUbT66I/AAAAAAAABRA/QnCs78paZMMOc0YuLpxsmGjaQBiOucu4QCLcBGAs/s72-c/wiz%2B1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/alex-iwobi-na-wizkid-wazitambulisha.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/alex-iwobi-na-wizkid-wazitambulisha.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy