Miguna na Odinga. MWANASHERIA maarufu wa nchini Kenya Miguna Miguna aliyemuapisha Raila Odinga, amefukuzwa nchini Kenya (deported...
Miguna na Odinga.
Taarifa kutoka Kenya ambazo zimethibitishwa na mwanasheria wake zinasma kwamba Miguna aliondolewa nchini kwa ndege ya KLM iliyoondoka na Nairobi, saa 4 usiku.
Tukio hilo limetoka muda mfupi baada ya mahakama ya juu ya nchini humo kuamrisha kufutwa kwa kesi zake zote alizofunguliwa, baada ya waendesha mashtaka na pplisi kushindwa kufika mahakamani, na kumpeleka Miguna.
Odinga akiapa.
Ifahamike kwamba Miguna ana uraia wa nchi mbili ikiwemo Canada na Kenya, uraia alioupata wakati akisoma na kufanya kazi kule kama mwanasheria.
COMMENTS