Anachojivunia Msanii Wa Norway ‘Makihiyo’ Kutoka Kwa Ben Pol

Msanii muziki kutoka nchini Norway,  Makio amefunguka jinsi ngoma ‘Ni Wako’ ambao aliyomshirikisha Ben Pol ilivyofanya mazuri. Muimbaji...


Msanii muziki kutoka nchini Norway,  Makio amefunguka jinsi ngoma ‘Ni Wako’ ambao aliyomshirikisha Ben Pol ilivyofanya mazuri.

Muimbaji huyo ameimbia Habari Today kuwa mapokezi ya ngoma hiyo yamekuwa makubwa si kwa Bongo tu bali hata nchini kwao.

“Mapokezi ni mazuri watu wamependa wimbo na wamefurahi sana na ninaimba Kiswahili na ninafanya style ya Bongo flava, na sikujua kama watapokea vipi kwa sababu ilikuwa style mpya kwa mimi kuimba lakini watu wamependa nimefurahi sana,” amesema Makihiyo.

Alipoulizwa mapokezi kwa upande wa Norway yapo vipi, alijibu: “Watu wanaipenda pia sana off course wahajui kiswahi lakini bado wanaipenda na kulikuwa na watu sijaongea nao miaka mingi sana wananiandikia kunipongeza”.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Anachojivunia Msanii Wa Norway ‘Makihiyo’ Kutoka Kwa Ben Pol
Anachojivunia Msanii Wa Norway ‘Makihiyo’ Kutoka Kwa Ben Pol
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhu6s1UnAme12Gzt8UdBO2EwfZK7NHHG3nyC3f3Vzi-DloESw5FXQofvDB3x1qcP-C3Z1O_uScSSrqNCBpFSkZxB3BaG38GQSzd1_uEQFLmND831S0oYi2GMiVFYfGJqO1tmWqdqSx2aEMh/s640/makhiyo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhu6s1UnAme12Gzt8UdBO2EwfZK7NHHG3nyC3f3Vzi-DloESw5FXQofvDB3x1qcP-C3Z1O_uScSSrqNCBpFSkZxB3BaG38GQSzd1_uEQFLmND831S0oYi2GMiVFYfGJqO1tmWqdqSx2aEMh/s72-c/makhiyo.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/anachojivunia-msanii-wa-norway-makihiyo.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/anachojivunia-msanii-wa-norway-makihiyo.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy