BAADA jana kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa katika mchezo wa ligi kuu, Simba leo imeendelea na mazoez...
BAADA jana kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja
wa Taifa katika mchezo wa ligi kuu, Simba leo imeendelea na mazoezi ya
kujiandaa na mchezo wao wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya
Klabu ya Gendarmerie ya Djibouti utakaopigwa keshokutwa Jumapili, Taifa.
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi ya pamoja leo
Wachezaji wakiendelea na mazoezi leo jioni yaliyofanyika Uwanja wa Boko Veterani
Wachezaji wakiendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka fiti na mechi ya Jumapili
Kiungo Said Ndemla akijaribu kumtoka beki wa timu hiyo, Shomari Kapombe
Wachezaji wakiendelea na mazoezi ya kunyoosha misuli
COMMENTS