Baada Ya Mawakili Kujitoa Kesi Ya SUGU , Kibatala Atinga Kumtetea

Baada ya Wakili Boniface Mwabukusi na Sabina Yongo kujitoa kuwa wakili katika kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Mbeya, Joseph Mbilin...


Baada ya Wakili Boniface Mwabukusi na Sabina Yongo kujitoa kuwa wakili katika kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Mbeya, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ inayoendelea kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya. Hatimae Wakili Peter Kibatala amechukua nafasi hiyo.

Sugu anakabiliwa na kesi ya kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais Magufuli. Ambayo wanadaiwa kuitoa Disemba 30 kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Mwenge.

Katika mwendelezo wa kesi hiyo kumetokea mabishano yaliyopelekea Mahakama kuahirishwa kwa muda baada ya Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kutaka aitwe mkuu wa upelelezi Mkoa wa Mbeya kama shahidi wao huku upande wa Jamhuri ukipinga kwa madai kuwa washtakiwa wanatakiwa kujitetea kabla ya shahidi.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Baada Ya Mawakili Kujitoa Kesi Ya SUGU , Kibatala Atinga Kumtetea
Baada Ya Mawakili Kujitoa Kesi Ya SUGU , Kibatala Atinga Kumtetea
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTNqnkjOqjECz99sbQIgREfcj1KohEnBzucKjXnF2sikSKvaV-kxAG1RaYhEqxBv0cgSaZ_TqB3xEcLKkYdgLTqwQtsKgU1GCjClAim3pxNc3Mo4Udzv9ytUlJS9FBEsX2m6pmtUvX4EMA/s640/sugo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTNqnkjOqjECz99sbQIgREfcj1KohEnBzucKjXnF2sikSKvaV-kxAG1RaYhEqxBv0cgSaZ_TqB3xEcLKkYdgLTqwQtsKgU1GCjClAim3pxNc3Mo4Udzv9ytUlJS9FBEsX2m6pmtUvX4EMA/s72-c/sugo.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/baada-ya-mawakili-kujitoa-kesi-ya-sugu.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/baada-ya-mawakili-kujitoa-kesi-ya-sugu.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy