Steven Pladl (kushoto) akiwa na na binti yake Katie Pladl (20). STEVEN PLADL (42) wa Knightdale, North Carolina, Marekani, na bin...
Steven Pladl (kushoto) akiwa na na binti yake Katie Pladl (20).
Kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha KRON4, Steven Pladl na mkewe (hakutajwa jina lake) waliyetengana rasmi Novemba 2016, aliiambia polisi kwamba Steven Pladl alikuwa analala na Katie kabla hawajatengana. Inadaiwa mwanamke huyo aligundua kwamba mwanamme huyo alikuwa amemtia mimba Katie ambapo alikuwa akiwaambia watoto wake kumwita Katie mama yao mdogo.
Steven Pladl anadaiwa alikiri kwa mtalaka wake huyo jambo na kwamba alipanga kumwoa binti huyo. Na kwa mujibu wa mtandao wa Instagram, Katie hivi sasa ameolewa lakini haijulikani mtoto wa kiume waliyekuwa naye wakati wanakamtwa yuko chini ya matunzo ya nani. Wawili hao wanashitakiwa kwa makosa ya kujamiiana ndugu kwa ndugu ambapo Steven Pladl yuko nje kwa dhamana na Katie yuko ndani kusubiri kesi iendelee.
COMMENTS