Bahati Kutoka Kivingine Na Aslay

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Bahati amefunguka ujio wa kolabo nyingine na msanii kutoka Bongo baada ya kufanya vizuri na ngoma...

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Bahati amefunguka ujio wa kolabo nyingine na msanii kutoka Bongo baada ya kufanya vizuri na ngoma ‘Nikumbushe’ ambayo alimshirikisha Rayvanny.

Muimbaji huyo amesema kwa mwaka huu anatarajia kusikika katika ngoma moja na Aslay ambayo ameshirikishwa na tayari kila kitu kwa sasa kimekamilika.

“Tanzania nina kolabo kadhaa ambazo zinakuja na ninashukuru Watanzania walinipokea vizuri na wimbo wangu wa Nikumbushe niliomshirikisha Rayvanny kutoka Wasafi.”  amesema.

“Huu mwaka tayari nina ngoma kubwa sana, kolabo kubwa sana na Aslay pia tuna video kubwa sana ambayo tuli-shoot Zanzibar ipo tayari ni wimbo wa Aslay ambao amenishirikisha, kwa hiyo ni wimbo ambao atautoa kwa muda wake.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Bahati Kutoka Kivingine Na Aslay
Bahati Kutoka Kivingine Na Aslay
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3gqBi-Gp596mt4vcvIPc3SW7Fp8fraSG6GYZrYko4I1fIH2m_lieBytNP6VIXjvNZWHJP2z-R26KDOlT_UpNQhM4SGjJx9tgEYIDIK6cEtr0LWbR1WxEXlBW1l9lNdqanLKBl-eE641xg/s640/aslay+bahat.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh3gqBi-Gp596mt4vcvIPc3SW7Fp8fraSG6GYZrYko4I1fIH2m_lieBytNP6VIXjvNZWHJP2z-R26KDOlT_UpNQhM4SGjJx9tgEYIDIK6cEtr0LWbR1WxEXlBW1l9lNdqanLKBl-eE641xg/s72-c/aslay+bahat.PNG
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/bahati-kutoka-kivingine-na-aslay.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/bahati-kutoka-kivingine-na-aslay.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy