Bahati Na Mkewe Diana Marua Wapata Mtoto Wao Wa Kwanza

Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya, Bahati amethibitisha kupata mtoto wake wa pili wa kike. Bahati amepata mtoto huyo na kupitia k...


Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya, Bahati amethibitisha kupata mtoto wake wa pili wa kike.

Bahati amepata mtoto huyo na kupitia kwa mkewe Diana Marua ambaye amejifungua mapema Jumatano hii. Muimbaji huyo ameonyesha furaha yake kupitia mtandao wa Instagram na kutaja jina la mtoto wao huyo kuwa ni Heaven.


Picha ya mtoto wa Bahati na mkewe Diana Marua

“GLORY TO JESUS!!! This Morning this Girl @Diana_Marua has given me the greatest gift of Life #BouncingBabyGirl 3.24kgs Help Us Welcome @HEAVENBAHATI,” ameandika Bahati.

Mtoto huyo anakuwa wa pili kwa Bahati, baada ya wa kwanza aliyezaa na ex wake, Yvette Obura.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Bahati Na Mkewe Diana Marua Wapata Mtoto Wao Wa Kwanza
Bahati Na Mkewe Diana Marua Wapata Mtoto Wao Wa Kwanza
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjXddCYTvijwTE8dnT0ysFQ_CGX21fkSfJIrsU8ZBmhel0KxpYhbTU9peATsG4dR21qAfBjhT-u67rCcdFvyU53KN1kKE7A6hWuNq7sb7zalV3GvKZsYldtk8yKN5zPhCP4CO9XYDjCjbp8/s640/will.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjXddCYTvijwTE8dnT0ysFQ_CGX21fkSfJIrsU8ZBmhel0KxpYhbTU9peATsG4dR21qAfBjhT-u67rCcdFvyU53KN1kKE7A6hWuNq7sb7zalV3GvKZsYldtk8yKN5zPhCP4CO9XYDjCjbp8/s72-c/will.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/bahati-na-mkewe-diana-marua-wapata.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/bahati-na-mkewe-diana-marua-wapata.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy