Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni

Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki...



Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni


Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamtwa na Jeshi la Polisi nchini humo.


Kijana Wamala Godfrey mwenye umri wa miaka 28 ndiye alikuwa akisakwa na jeshi la polisi kama mtuhumiwa mkuu mara baada ya mmiliki wa bar, Egesa George na Meneja wake kilipotokea kifo cha Radio kushikiliwa na Polisi.


Wamala alikamatwa katika eneo la Kyengera alipokuwa amejificha kwa siku kadhaa nyumbani kwa rafiki yake. Wamala amehamishiwa mjini Entebbe.


Mwimbaji Mowzey Radio alifariki dunia Februari Mosi mwaka huu kutokana na majeraha ambayo aliyapata kichwani kufuatia ugomvi katika bar hiyo.

Kamanda wa Polisi Kampala, CP. Frank Mwesigwa amethibitisha kushikiliwa kwa Wamala Godfrey na kueleza kuwa kwa sasa wanaandaa majalada ili kuweza kumfikisha mahakamani.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni
Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQpXoMCwymIOWfRh1tlbEzYjw6ch-8c38L0AMGhV5WSgQE8-Q27rlKVyPo8DJjtSkZbwhmvzIjK1NKolk0xX3Yt3427_TGv15bVW6I24fxOG_lhTxEgjNJOLbcb6Rid23vxyUjjgrhFEA3/s640/baunsa+3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQpXoMCwymIOWfRh1tlbEzYjw6ch-8c38L0AMGhV5WSgQE8-Q27rlKVyPo8DJjtSkZbwhmvzIjK1NKolk0xX3Yt3427_TGv15bVW6I24fxOG_lhTxEgjNJOLbcb6Rid23vxyUjjgrhFEA3/s72-c/baunsa+3.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/baunsa-anayedaiwa-kumuua-mowzey-radio.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/baunsa-anayedaiwa-kumuua-mowzey-radio.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy