Moto unawaka katika duka maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu kwenye kona ya kuelekea Charambe, muda huu. Juhudi za kuuzima moto huo na kuokoa ...
Moto unawaka katika duka maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu kwenye kona ya kuelekea Charambe, muda huu. Juhudi za kuuzima moto huo na kuokoa mali sambamba na kuzuia usisambae kwenye maduka mengine zinaendelea.
Chanzo cha moto huo hakijafahamika bado. Taarifa zaidi zitafuata baadaye.
COMMENTS