Coutinho, Rakitic Waipeleka Barcelona Fainali Na Kuweka Rekodi

Klabu ya Barcelona Jana usiku imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mfalme nchini Hispania (Copa del Rey) kwa kuicharaza klabu ya Vale...


Klabu ya Barcelona Jana usiku imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mfalme nchini Hispania (Copa del Rey) kwa kuicharaza klabu ya Valencia goli 2-0.

Magoli ya Barcelona yamefungwa na Ivan Rakitic na mshambuliaji mpya wa Barcelona Philippe Coutinho ikiwa ni goli lake la kwanza tangu ajiunge klabuni hapo akitokea Liverpool.
Barcelona wamefanikiwa kufuzu kwa aggregate ya magoli 3-0 baada ya mchezo wa kwanza Barca kushinda goli 1-0.

Barcelona itakutana na Sevilla kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Mfalme itakayochezwa Aprili 21, 2018.

Hii inakuwa fainali ya 5 mfululizo kwa Barcelona ambapo imeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza Hispania kucheza fainali nyingi mfululizo na wamefanikiwa kuchukua kombe hilo mara nne.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Coutinho, Rakitic Waipeleka Barcelona Fainali Na Kuweka Rekodi
Coutinho, Rakitic Waipeleka Barcelona Fainali Na Kuweka Rekodi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEji7Tdd1AqW08agAsrNA5lUI02Sw3X1rUxm5VoOsOzfb6sn6lU8ngVbZrqcLugeLcuRLb_WYZoCT0klfl-oBi4FZZIIs8rqpMn7Xp1Z1bBP0TMELD4FLRF_jYBzdyrhyphenhyphenX_1xshZ2VRKNQS2/s640/cot.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEji7Tdd1AqW08agAsrNA5lUI02Sw3X1rUxm5VoOsOzfb6sn6lU8ngVbZrqcLugeLcuRLb_WYZoCT0klfl-oBi4FZZIIs8rqpMn7Xp1Z1bBP0TMELD4FLRF_jYBzdyrhyphenhyphenX_1xshZ2VRKNQS2/s72-c/cot.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/coutinho-rakitic-waipeleka-barcelona.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/coutinho-rakitic-waipeleka-barcelona.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy