Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido amefunga safari hadi nchini Afrika Kusini kwa rapper Cassper Nyovest kujadili namna watakavyo-sh...
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido amefunga safari hadi nchini Afrika Kusini kwa rapper Cassper Nyovest kujadili namna watakavyo-shoot video ya ngoma yao mpya. Safari ya Davido inakuja siku kadhaa baada ya wawili hao kuonekana wakiwa studio.
COMMENTS