DIAMOND Afunguka Kuhusu Mahusiano Na Baba Yake Mzazi

Baada ya tetesi za muda mrefu kuzagaa kuwa Msanii wa Muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz kuwa hana mahusiano mazuri na baba yake m...


Baada ya tetesi za muda mrefu kuzagaa kuwa Msanii wa Muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz kuwa hana mahusiano mazuri na baba yake mzazi, Hatimaye Diamond ameweka wazi ukweli wote kwa kukanusha taarifa hizo.

Diamond amesema kuna watu wenye hira ndio wanaokuza mambo lakini yeye huwa anawasiliana naye na huwa anamsaidia pale anapokuwa na kitu.
Ingawaje Diamond amekiri wazi kwamba hana mazoea naye kama ilivyo kwa mama yake mzazi lakini hakuna bifu kama baadhi ya watu wanavyokuza mambo.
“Nililia sana kutoalikwa kwenye arobaini ya Tiffah”-Baba yake Diamond

Kwa upande mwingine, Diamond amewakanya baadhi ya watu ambao wanampeleka baba yake hadi kwenye geti lake na kumpiga picha ili kuupotosha umma kuwa amemfungia geti baba yake, waache hiyo tabia kwa sababu inaathiri hadi familia nyingine. Tazama video ya Diamond akizungumza tukio hilo hapa chini

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: DIAMOND Afunguka Kuhusu Mahusiano Na Baba Yake Mzazi
DIAMOND Afunguka Kuhusu Mahusiano Na Baba Yake Mzazi
https://1.bp.blogspot.com/-wvU1WBOnlk4/WnxwfBdrA1I/AAAAAAAABSA/SOA_7e_sLfEKrWcVGCBs50xSqgsnRZBogCLcBGAs/s640/Capture-21.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-wvU1WBOnlk4/WnxwfBdrA1I/AAAAAAAABSA/SOA_7e_sLfEKrWcVGCBs50xSqgsnRZBogCLcBGAs/s72-c/Capture-21.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/diamond-afunguka-kuhusu-mahusiano-na.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/diamond-afunguka-kuhusu-mahusiano-na.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy