Dj Sinyorita wa Clouds Fm awajibu wasanii wanaolalamika ngoma zao kubaniwa

Dj Sinyorita ambaye mara nyingi amekuwa akisikika katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm amefunguka kuhusu malalamiko ya baadhi ya wasanii...


Dj Sinyorita ambaye mara nyingi amekuwa akisikika katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm amefunguka kuhusu malalamiko ya baadhi ya wasanii ngoma zao kutopata air time katika radio station mbali mbali.

Sinyorita ameiambia Bongo5 kuwa suala hilo inategemea na msanii husika ila muziki wa sasa Bongo una ushindani mkubwa na nyimbo kali na nzuri ni nyingi hivyo badhi nyimbo zisizochezezwa mara nyingi huwa na kasoro.

“Halafu pia Dj huwezi ukapiga nyimbo zote, nyimbo kali ni nyingi kwa hiyo inabidi uchague leo unapiga hizo kesho hizi, nyimbo kali ni nyingi za hapa na za mbele,” amesema.
“Kama msanii ngoma yako haijapigwa leo chill isipopigwa na mimi itapigwa na Dj mwingine, isipopigwa na Clouds itapigwa station nyingine,” ameongeza Sinyorita.


Kabla ya kujiunga na Clouds Fm Dj Sinyorita alikuwa akisikika kupitia East Africa Radio katika kipindi cha The Cruise.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Dj Sinyorita wa Clouds Fm awajibu wasanii wanaolalamika ngoma zao kubaniwa
Dj Sinyorita wa Clouds Fm awajibu wasanii wanaolalamika ngoma zao kubaniwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghWwZL_IlxkV28OlIGPaQo0xMHn2fRgSIDT1BUg55YiiEdZhKiWDpVcqMRlnUKoMaNG4hHADbMTvqibz3wbd3dzg2Ge9dd5DLEPHYY3KVQpUHWvVHvc41Z3nYLVGLpuXf7rBBmdRaf8TZM/s640/sinyo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghWwZL_IlxkV28OlIGPaQo0xMHn2fRgSIDT1BUg55YiiEdZhKiWDpVcqMRlnUKoMaNG4hHADbMTvqibz3wbd3dzg2Ge9dd5DLEPHYY3KVQpUHWvVHvc41Z3nYLVGLpuXf7rBBmdRaf8TZM/s72-c/sinyo.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/dj-sinyorita-wa-clouds-fm-awajibu.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/dj-sinyorita-wa-clouds-fm-awajibu.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy