Dkt. Nchemba Awakemea Wanasiasa Wanaoihusisha Serikali Na Shambulio La Mh. Lissu

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kuumia kwa Mbunge Tundu Lissu kama chambo ya kisias...


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kuumia kwa Mbunge Tundu Lissu kama chambo ya kisiasa katika majukwaa.

Dkt. mwigulu amesema hayo mkoani Singida wakati wa kampeni za udiwani kata ya Mitunduluni.
Aidha Dkt Mwigulu amewataka waache kutumia matatizo ya ndugu yao kama mitaji ya kisiasa badake yake waje na hoja za maana za kusaidia katika maendeleo ya nchi.

Aliongeza kusema kuwa mwaka uliopita uhalifu wa ajabu ulitokea ambapo kuna watoto wadogo wa chekechea walitekwa na kuuwawa ambao hawakuwa na hata shida na mtu yoyote na wazazi wao ni watu wa kawaida kabisa je serikali ndio imehusika.

“Sisi tunaoshughulika na masuala ya uhalifu tunatafuta wahalifu wanaofanya msuala ya kihalifu, kuna watu wanaona ni ajenda ya kisiasa wakati sisi tuombea mtu apone” alisema Dr Mwigulu
DKt. Mwigulu ameongeza kusema kuwa je angeamua kuendelea kusema kuhusu kupigwa risasi kwa mwanajeshi masaki inauhusiano gani na shida za kata ya mitundulini, hivyo wananchi wa singida wawaadhibu kwa kuwanyima kura katika uchaguzi wa tarehe 17 mwezi huu.


Uchaguzi mdogo katika kata ya mitunduluni unafanyika baada ya Diwani aleyekuwepo katika kata hiyo kufariki dunia kwa maradhi.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Dkt. Nchemba Awakemea Wanasiasa Wanaoihusisha Serikali Na Shambulio La Mh. Lissu
Dkt. Nchemba Awakemea Wanasiasa Wanaoihusisha Serikali Na Shambulio La Mh. Lissu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzsbcLmWPDJkTTa8UhYAx4qleABgXuKN1u5MYqXA5LTB6m6OE1goQqJ9m27vnZhkfU9s2P85ojESzpooQPe9wlZZPfjZX1tdOuNxxqWq51EcDmHoz_Sx3BiwHqbJEkD1LL-Zu0ZbQKhGfM/s640/i.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzsbcLmWPDJkTTa8UhYAx4qleABgXuKN1u5MYqXA5LTB6m6OE1goQqJ9m27vnZhkfU9s2P85ojESzpooQPe9wlZZPfjZX1tdOuNxxqWq51EcDmHoz_Sx3BiwHqbJEkD1LL-Zu0ZbQKhGfM/s72-c/i.png
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/dkt-nchemba-awakemea-wanasiasa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/dkt-nchemba-awakemea-wanasiasa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy