Dubai Yazindua Jengo Lingine Refu Zaidi Duniani

Dubai inakuwa ni sehemu pekee duniani ambayo ina majengo marefu zaidi duniani na hii ni baada ya jana Jumapili Februari 11, 2018 kuzind...


Dubai inakuwa ni sehemu pekee duniani ambayo ina majengo marefu zaidi duniani na hii ni baada ya jana Jumapili Februari 11, 2018 kuzindua jengo la Gevora Hotel towers.


Jengo hilo lenye ghorofa 75 na urefu wa mita 356 kwenda juu linakuwa ndiyo jengo la Hoteli refu zaidi duniani.


Hata hivyo, rekodi ya jengo refu la hoteli duniani ilikuwa inashikiliwa na Dubai yenyewe ambapo jengo la hoteli la JW Mariott Marquis ambalo limezidiwa mita moja tu na jengo jipya la Genova Hotel ndio lilikuwa linashikilia rekodi hiyo.


Jengo hilo la Hoteli ya Genova ina vyumba 528 na kuna klabu kubwa 5 na swimming pool  na migahawa mikubwa 30.


Dubai ndiyo sehemu mpaka sasa inayoongoza kuwa na jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lenye urefu wa mita 828.

Kwa mujibu wa mtandao wa  Emirates 24/7 hoteli hiyo litaanza kupokea wageni kuanzia jumatatu ya wiki lijalo.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Dubai Yazindua Jengo Lingine Refu Zaidi Duniani
Dubai Yazindua Jengo Lingine Refu Zaidi Duniani
https://2.bp.blogspot.com/-hb1nizWfMIg/WoF_sEuQ97I/AAAAAAAAB8I/wUCN51Fz8xkfKKxPrtx4I65WOKY86dvEgCLcBGAs/s640/w%2B1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-hb1nizWfMIg/WoF_sEuQ97I/AAAAAAAAB8I/wUCN51Fz8xkfKKxPrtx4I65WOKY86dvEgCLcBGAs/s72-c/w%2B1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/dubai-yazindua-jengo-lingine-refu-zaidi.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/dubai-yazindua-jengo-lingine-refu-zaidi.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy