Fahamu Juisi Zinazoondoa Sumu Mwilini

Mwili wa binadamu unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika kwa namna mbili, kupitia mazingira tunayoishi ama kupitia vyakula...


Mwili wa binadamu unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika kwa namna mbili, kupitia mazingira tunayoishi ama kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku.

Leo katika habari za afya nakuleta aina saba za juisi zinazoweza kuondoa sumu bila kufanya mazoezi. Jisi hizo ni
1. Juisi ya mchanaganyiko wa tango na spinachi.
2.Jusi ya mchanganyiko wa tangawizi na spinachi.
3. Juisi ya mchanganyiko wa chungwa na tango.
4. Juisi ya komamanga pamoja na mapera.
5. Juisi ya changanyiko wa passion na tango.
6. Juisi ya mchanganyiko wa apple na parachichi.
7. Juisi ya mchanganyiko wa mbegu za maboga na strawberry.

KUMBUKA:

Nunua mahitaji husika na kisha unayasaga kwa kifaa husika cha kusagia (brenda) iliupate mchanganyiko unaotakiwa.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Fahamu Juisi Zinazoondoa Sumu Mwilini
Fahamu Juisi Zinazoondoa Sumu Mwilini
https://2.bp.blogspot.com/-xv62nm_zSJo/WoAriAu2W_I/AAAAAAAAB3I/4H3SeOw52nACU5BXWLJlYh5h6NqZi7KtgCLcBGAs/s640/afya.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-xv62nm_zSJo/WoAriAu2W_I/AAAAAAAAB3I/4H3SeOw52nACU5BXWLJlYh5h6NqZi7KtgCLcBGAs/s72-c/afya.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/fahamu-juisi-zinazoondoa-sumu-mwilini.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/fahamu-juisi-zinazoondoa-sumu-mwilini.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy