'' Fella Na Temba Ni wanafiki '' Bi Cheka

Bibi Cheka Mkazi Wa Boko B Kutembelewa Na kukuta akiwa kwenye hali mbaya  licha ya misaada mingi inayotajwa na Fella pamoja na T...


Bibi Cheka Mkazi Wa Boko B Kutembelewa Na kukuta akiwa kwenye hali mbaya  licha ya misaada mingi inayotajwa na Fella pamoja na Temba kuwa wamemjengea nyumba kitu ambacho amekikanusha.
Akiongea na Ripota Wetu Bibi Cheka amesema   kuwa Temba anashindwa na mambo yake na mpaka sasa ameshaachana na mke wake kwasababu alimfumania ndani kwake na mwanaume mwingine hivyo hawezi kukaa na kuanza kufatilia kwamba Bi Cheka amejengewa nyumba na Fella au laa.
"Pamoja na 'show' zote ambazo nilifanya lakini sikuwahi kushika laki tano katika maisha yangu kwa kuwa pesa yote alikuwa anapokea Mkubwa Fella na alikuwa hawaambii ukweli kina Temba na Chege ila Mungu na Mitume itamlaani'', Amesema.




Bibi Cheka pia ameweka wazi kuwa amepata wasimamizi wengine ambao wameahidi kumsimamia katika mziki wake japo kuwa hali yake sio nzuri kiafya ila tayari ameachia baadhi ya nyimbo na zipo kwenye mtandao hivyo anaamini atafanya tena vizuri kupitia uongozi wake mpya.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: '' Fella Na Temba Ni wanafiki '' Bi Cheka
'' Fella Na Temba Ni wanafiki '' Bi Cheka
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdymnjKsCsIrk_-K-fgwG-Sg2FFsE6MoX0pc17qZJzS_DJFzVirCxzlZdS8kVxZxmhC-5nCOzrxXoud3C1SxtfdNLaEWS02xlyOFK1bxTR8VFaXuqkbD6xmLvnHDEm2ARBPHyUcdAPPVtR/s640/BI+CHEKA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdymnjKsCsIrk_-K-fgwG-Sg2FFsE6MoX0pc17qZJzS_DJFzVirCxzlZdS8kVxZxmhC-5nCOzrxXoud3C1SxtfdNLaEWS02xlyOFK1bxTR8VFaXuqkbD6xmLvnHDEm2ARBPHyUcdAPPVtR/s72-c/BI+CHEKA.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/fella-na-temba-ni-wanafiki-bi-cheka.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/fella-na-temba-ni-wanafiki-bi-cheka.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy