Simba 3-0 Ruvu Shooting , Uwanja wa Taifa . Bocco Atupia 2

Wachezaji wa Simba wakishangilia kwa pamoja. Dk ya 90: Zinaongezwa dakika tatu za nyongeza. Dk ya 86: Simba wanatengeneza masham...


Wachezaji wa Simba wakishangilia kwa pamoja.

Dk ya 90: Zinaongezwa dakika tatu za nyongeza.
Dk ya 86: Simba wanatengeneza mashambilizi lakini mipango inakwama.
Dk ya 84: Gyan anapiga shuti linalopanguliwa na kipa na kutoka nje ya lango, inakuwa kona.
John Bocco anaipatia Simba bao la tatu. Aliu-‘chop’ mpira nje ya eneo la 18 baada ya kipa kuwa ametokea kuudaka mpira.
Dk ya 74: GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 71: Mlipili wa Simba
Dk ya 68: Simba wanapata bao la pili, mfungaji ni Mzamiru, anamalizia krosi ya Kichuya.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 58: Ruvu wamewapunguza kasi Simba.
Dk ya 55: Bocco ametolewa nje anapatiwa matibabu.
Dk ya 54: Bocco yupo chini anatibiwa, ameumia goti wakti wa purukushani za kuwania mpira.
Kipindi cha pili kimeanza.
Mabadiliko, Kazimoto kaingia, Said Ndemla wa Simba ametoka.
Timu zinaingia uwanjani.

MAPUMZIKO
Dk ya 45+3: Laudit Mavugo anaingia, Okwi anashindwa kuendelea na mchezo.
Dk ya 45+2: Mau Bofu anapewa kadi nyekundu.
Dk ya 45: Mchezo umesimama, Okwi anatibiwa, zinaongezwa dakika 3.
dK YA 45: Mau Bofu wa Ruvu anampiga makusudi Okwi usoni akiwa hana mpira.
Dk ya 43: Ndemla anapiga shuti almanusura liingie wavuni.
Dk ya 41: Kwasi anamtoka beki wa Ruvu, inapigwa krosi, inaokolewa.Kikosi cha timu ya Simba

Dk ya 43: Ndemla anapiga shuti almanusura liingie wavuni.
Dk ya 41: Kwasi anamtoka beki wa Ruvu, inapigwa krosi, inaokolewa.
Dk ya 37: Ruvu wanapata faulo nje kidogo ya eneo la lango la Simba, wanapiga inatoka nje. Dk ya 31: Issa Kanduru anapewa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Shomari Kapombe.
Dk ya 29: Simba wanapata kona. Kichuya anapiga lakini inakosa mmaliziaji.
Dk ya 27: Simba wanafanya mashambulizi mara mbili ndani ya muda mfupi.
Dk ya 27: Simba wanafanya mashambulizi mara mbili ndani ya muda mfupi.
Dk ya 24: Mchezo unaendelea.
Dk ya 23: Wachezaji wa timu zote wanapumzika kidogo, jua ni kali, mwamuzi anawaruhusu wapumzike kwa dakika 1.
John Bocco anaipatia Simba bao kwa njia ya kichwa, aliunganisha mpira wa kona wa Shiza Kichuya.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 21: Simba wanapata kona.
Dk ya 20: Simba wanafanya mashambulizi mfululizo.
Dk ya 18: Mau Bofu anapata kadi ya njano kwa kumchezea vibaya Okwi, alimpandishia mguu.
Dk ya 8: Adam wa Ruvu anapata kadi ya njano kwa kumzonga mwamuzi akilalamika.
Dk ya 5: Okwi tena anafika langoni mwa Ruvu lakini walinzi wa Ruvu wanakuwa makini kuokoa.
Dk ya 3: Simba wanafika langoni mwa Ruvu lakini Okwi anakosa umakini.

Dk ya 1: Kasi ya mchezo haijawa kubwa.
Mchezo umeanza.
Timu zinaingia uwanjani.

Kikosi cha Simba SC kitakachoanza dhidi ya Ruvu Shooting
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Asante Kwasi
4. Yusuph Mlipili
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Said Ndemla
9. John Bocco
10. Emmanuel Okwi
11. Mzamiru Yassini
AKIBA:
12. Ally Salim
13. Paul Bukaba
14. Mwinyi Kazimoto
15. Mavugo Laudit
16. Mohamed Hussein
17. Moses Kitandu
18. Nicolaus Gyan

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Simba 3-0 Ruvu Shooting , Uwanja wa Taifa . Bocco Atupia 2
Simba 3-0 Ruvu Shooting , Uwanja wa Taifa . Bocco Atupia 2
https://1.bp.blogspot.com/-S9F_m1WwBa4/WndS6DPEBGI/AAAAAAAAAYA/VGX7h2PqC6M2nDeOB4VHpW-tHAQkt-MSgCLcBGAs/s640/ligi.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-S9F_m1WwBa4/WndS6DPEBGI/AAAAAAAAAYA/VGX7h2PqC6M2nDeOB4VHpW-tHAQkt-MSgCLcBGAs/s72-c/ligi.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ft-simba-3-0-ruvu-shooting-uwanja-wa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ft-simba-3-0-ruvu-shooting-uwanja-wa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy