Gerard Pique Aiokoa Barcelona Mbele Ya Mahasimu Wao

Beki wa klabu ya Barcelona, Gerard Pique ameinusuru klabu yake kwa kuipatia goli la kusawazisha dhidi ya mahasimu wao klabu ya Espanyol....


Beki wa klabu ya Barcelona, Gerard Pique ameinusuru klabu yake kwa kuipatia goli la kusawazisha dhidi ya mahasimu wao klabu ya Espanyol.

Mchezo huo ambao ulitawaliwa na vurugu huku uwanja ukiwa umejaa maji kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha, Barcelona walionekana kupotea hadi alipoingia mshambuliaji tegemezi wa klabu hiyo, Lionel Messi kunako kipindi cha pili.

Pique ametupia goli hilo kwa kichwa kutoka kwenye faulo ilipigwa na Messi baada ya Beki Umtiti kufanyiwa madhambi na Sergio Garcia.

Barcelona bado mpaka sasa wanaongoza ligi kuu nchini Hispania kwa alama 58 na kuwa ndiyo timu ya kwanza barani Ulaya kwenye Ligi kubwa tano ambayo haijapoteza hata mchezo mmoja.

Klabu ya Atletico Madrid inashika nafasi ya pili kwa alama 46 ikifuatiwa na Valencia yenye alama 40 kwenye msimamo wa La Liga.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Gerard Pique Aiokoa Barcelona Mbele Ya Mahasimu Wao
Gerard Pique Aiokoa Barcelona Mbele Ya Mahasimu Wao
https://3.bp.blogspot.com/-depPJG1rZdU/Wndo6ymF0dI/AAAAAAAAAbA/BrLdhsRqNhwHXCnW3M0aYJpsFjQF4LBOQCLcBGAs/s640/pq.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-depPJG1rZdU/Wndo6ymF0dI/AAAAAAAAAbA/BrLdhsRqNhwHXCnW3M0aYJpsFjQF4LBOQCLcBGAs/s72-c/pq.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/gerard-pique-aiokoa-barcelona-mbele-ya.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/gerard-pique-aiokoa-barcelona-mbele-ya.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy