Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia mara baada ya kucheza mpira mzuri katika shimo namba Tisa katika mashindano ya wa...
Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia akiwa na wechaji wenzie mara baada ya kuibuka mshindi katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria
Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akinyenyua kikombe mara baada ya kushinda katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria
Mchezaji wa Lugalo Golf Club Angel Eaton akishangilia kwa
kujifunika bendera ya taifa mara baada ya kucheza mpira mzuri katika
shimo namba Tisa katika mashindano ya wazi ya wanawake ya IBB ladies
Championship yaliyomalizika Jumapili nchini Nigeria.Picha na Luteni Selemani Semunyu
Angel Eaton Mchezaji Watimu Ya Golf Ya Wanawake Ya Klabu Ya Jeshi
La Ulinzi La Wananchi Wa Tanzania Ya Lugalo Ametekeleza Agizo La Mkuu Wa
Majeshi Ya Ulinzi Jenerali Mabeyo La Kulinda Heshima Ya Jeshi Katika
Mashindano Nchini Nigeria
Mchezaji Huyo Nyota Wa Klabu Ya Lugalo Amefanikisha Hilo Baada Ya
Kuibuka Na Ushindi Wa Jumla Baada Ya Kushinda Siku Tatu Mfululizo Kwa
Mikwaju 76 Katika Siku Ya Kwanza Ya Pili Na Tatu Ya Mashindano Ya Wazi
Ya Wanawake Ya Ibb Ladies Open Championship Yaliyofanyika Abuja Nchini
Nigeria.
Tanzania Iliyowakilishwa Na Wachezaji Saba Kutoka Klabu Ya Lugalo
Imefani9kiwa Kushika Nafasi Ya Nne Iliyonyakuliwa Na Mchezaji Wake Hawa
Wanyeche Akiwa Nyuma Ya Wachezaji Kutoka Kenya Na Nigeria Huku Nafasi Ya
Sita Ikinyakuliwa Na Nahodha Ayne Magombe
Hivi Karibuni Wakati Akiwaaga Wachezaji Hao Kwenda Nchini Nigeria
Mkuu Wa Majeshi Ya Ulinzi Jenerali Mabeyo Aliwataka Kuhakikisha
Wanalinda Heshima Ya Klabu Jeshi Na Nchi Kwa Ujumla Katika Mashindano
Hayo
Mashindano Hayo Ya Siku Tatu Yaliyoshirisha Wacheza Ji 187 Kutoka
Nchi 10 Zilizoshiriki Michuano Hiyo Ambapo Nahodha Wa Timu Hiyo Ayne
Magombe Alisema Walikuwa Na Timu Nzuri Iliyokuwa Na Wachezaji Wazuri.
Timu Ya Lugalo Iliwakilishwa Na Wachezji Ayne Magomba,Sophia
Mathias, Hawa Wanyeche,Christina William, Rehema Athumani Na Angel Eaton
Ambaye Pia Alishinda Longest Drive.
COMMENTS