Goli Moja Tu lamsafirisha Sanchez Na familia Yake Paris

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez amesafiri na familia yake katika jiji la Paris kupitia ndege binafsi baada ya...


Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez amesafiri na familia yake katika jiji la Paris kupitia ndege binafsi baada ya kuipatia bao timu yake dhidi ya Huddersfield wikiendi hii.


Baada ya kujiunga na United akitokea Arsenal na kupokea kitita cha paundi 350,000 kwa wiki, Sanchez amejipatia goli lake la kwanza katika ushindi wa 2 – 0 dhidi Huddersfield.


Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Chile ameibeba familia yake na kusafiri nayo hadi katika nchi ya Ufaransa kupitia ndege binafsi na kutupia picha hizo kupitia mtandao wa kijamii.


COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Goli Moja Tu lamsafirisha Sanchez Na familia Yake Paris
Goli Moja Tu lamsafirisha Sanchez Na familia Yake Paris
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieQbXJxGL1CoARJVaqI56RdorviJV-njPECuNOiPcMvzA97Ce2YzAB6PfYySF30n8m_NMK10MOeu0wziqICoCqaCgvkjQfPJFK_cuExK9RPg68itGPfLtuCgXXvTeYkzJIy3cPcN4YQlws/s640/ale4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieQbXJxGL1CoARJVaqI56RdorviJV-njPECuNOiPcMvzA97Ce2YzAB6PfYySF30n8m_NMK10MOeu0wziqICoCqaCgvkjQfPJFK_cuExK9RPg68itGPfLtuCgXXvTeYkzJIy3cPcN4YQlws/s72-c/ale4.JPG
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/goli-moja-tu-lamsafirisha-sanchez-na.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/goli-moja-tu-lamsafirisha-sanchez-na.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy