Hatimaye Mbunge SUGU, MASONGA Wapata Dhamana.. Hukumu Kutolewa FEBRUARI 26

Na Godfrey Kahango, Mwananchi  Mahakama ya Hakimu Mkazi-Mbeya imewaachia kwa dhamana washtakiwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbili...


Na Godfrey Kahango, Mwananchi 
Mahakama ya Hakimu Mkazi-Mbeya imewaachia kwa dhamana washtakiwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga katika kesi inayowakabili ya kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.
Sugu na Masonga wamekaa mahabusu kwa muda wa siku 24 baada ya kunyimwa dhamana na mahakama hiyo kutokana na hoja za upande wa Jamhuri.
Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Michael Mteite amewaachia kwa dhamana wawili baada ya Wakili upande w utetezi, Peter Kibatala kuiambia mahakama hiyo kwamba imeshafunga ushahidi wake ambapo mashahidi sita walitoa ushahidi wao.

Mawakili wa pande zote mbili walikubaliana kwamba Februari 19 watawasilisha majumuisho ya shauri hilo mahakamani hapo.
Hakimu Mteite amekubaliana na hoja hiyo ya mawakili na kusema hukumu ya kesi hiyo itatolewa Februari 26 mwaka huu.
"Washtakiwa wote wanaachiwa kwa dhamana, na kila mmoja atajidhamini mwenyewe kwa hati ya dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kwa kila mmoja.


Chanzo- Mwananchi

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Hatimaye Mbunge SUGU, MASONGA Wapata Dhamana.. Hukumu Kutolewa FEBRUARI 26
Hatimaye Mbunge SUGU, MASONGA Wapata Dhamana.. Hukumu Kutolewa FEBRUARI 26
https://2.bp.blogspot.com/-caautmyrmow/Wn6d8lG5pKI/AAAAAAAABl0/yTP-iIHoUSEa04wsIDnobEt4LbzI0L7nACLcBGAs/s640/sugu.gif
https://2.bp.blogspot.com/-caautmyrmow/Wn6d8lG5pKI/AAAAAAAABl0/yTP-iIHoUSEa04wsIDnobEt4LbzI0L7nACLcBGAs/s72-c/sugu.gif
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/hatimaye-mbunge-sugu-masonga-wapata.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/hatimaye-mbunge-sugu-masonga-wapata.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy