Hatma Ya RAIS JACOB ZUMA Kung’atuka Madarakani Kujulikana Leo

Kiongozi wa Chama Tawala nchini Afrika kusini Cyril Ramaphosa Kiongozi wa Chama tawala nchini Afrika kusini cha ANC Cyril Ramapho...


Kiongozi wa Chama Tawala nchini Afrika kusini Cyril Ramaphosa

Kiongozi wa Chama tawala nchini Afrika kusini cha ANC Cyril Ramaphosa amethibitisha kuwa chama kitafanya uamuzi wa mwisho juu ya hatma ya Rais Jacob Zuma.
Akizungumza kaika mkutano wa hadhara mjini Cape Town, Ramaphosa amedokeza kuwa Rais Zuma atatakiwa kujiuzulu.

Amesisitiza kuwa wala rushwa wote wanatakiwa kufikishwa katika vyombo vya sheria, kitu ambacho anasema Nelson Mandela, baba wa taifa hilo angekitaka.

Bwana Ramaphosa alikuwa akizungumza katika kumbukumbu ya miaka 28 toka Rais wa kwanza mzalendo nnchini humo Nelson Mandela alipolihutubia taifa, mara tu baada ya kuachiwa gerezani.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Hatma Ya RAIS JACOB ZUMA Kung’atuka Madarakani Kujulikana Leo
Hatma Ya RAIS JACOB ZUMA Kung’atuka Madarakani Kujulikana Leo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCz-mQjazmg0OspyXe8bixR5Dau2KqpMPAr2M4fTix0z137fExSPLFlxNdA2ujpFZBiK31i3tmha-YXBfgJZ_XmXBw646DMtc69Ou5ZcRxnVdmSpTOjBWqizPK2yTWFHQC-Wh6sVQqVJGj/s640/zuna.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCz-mQjazmg0OspyXe8bixR5Dau2KqpMPAr2M4fTix0z137fExSPLFlxNdA2ujpFZBiK31i3tmha-YXBfgJZ_XmXBw646DMtc69Ou5ZcRxnVdmSpTOjBWqizPK2yTWFHQC-Wh6sVQqVJGj/s72-c/zuna.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/hatma-ya-rais-jacob-zuma-kungatuka.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/hatma-ya-rais-jacob-zuma-kungatuka.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy