Baba Akwilina Baba mdogo wa Marehemu Akwelina mwanafunzi aliyepigwa risasi na polisi siku chache zilizopita, amefunguka kwa kuitaka ...
Baba Akwilina
Akiongea na waandishi wa habari akiwa Muhimbli, Yusuph Shayo alisema kitendo cha mtoto wao kufa kifo cha risasi na kitu ambacho kimewaumiza sana.
COMMENTS