Hivi Ndivyo Ronaldo Alivyofanya Birthday Yake Baada Kutimiza Miaka 33

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo hapo jana siku ya Jumatatu amesherehekea siku yake ya ...


Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo hapo jana siku ya Jumatatu amesherehekea siku yake ya kuzaliwa baada ya kutimiza miaka 33.


Ronaldo ameposti picha zake katika mtandao wa kijamii wa Instagram akionekana kusherehekea siku hiyo huku akiwa na keki na kuwashukuru mashabiki wake kwa kumtakia furaha ya kuzaliwa.


Keki hiyo ya Ronaldo imeonekana kuwa ya rangi ya bahari huku kukiwa na mnyama aina ya pweza kwa pembeni.Siku ya Jumapili Ronaldo aliweka ‘profile’ picha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter inayomuonyesha akiwa na kikosi cha Super Bowl LII


COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Hivi Ndivyo Ronaldo Alivyofanya Birthday Yake Baada Kutimiza Miaka 33
Hivi Ndivyo Ronaldo Alivyofanya Birthday Yake Baada Kutimiza Miaka 33
https://4.bp.blogspot.com/-eHdCPhMnTYs/Wnoe2kkLpsI/AAAAAAAAAzs/_u3iOxQhfdsMdfXtOBgW2F0TD2L62o0OwCLcBGAs/s640/cristiano-ronaldo-empresario.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-eHdCPhMnTYs/Wnoe2kkLpsI/AAAAAAAAAzs/_u3iOxQhfdsMdfXtOBgW2F0TD2L62o0OwCLcBGAs/s72-c/cristiano-ronaldo-empresario.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/hivi-ndivyo-ronaldo-alivyofanya.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/hivi-ndivyo-ronaldo-alivyofanya.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy