Huyu Ndiye CHURA Wa Aina yake Anae Tafutiwa Mchumba

Chura kutoka kizazi kisicho cha kawaida anatafutiwa mke Bolivia Wataalam wa kuhifadhi wanyama nchini Bolivia wameanza kutembea taifa...


Chura kutoka kizazi kisicho cha kawaida anatafutiwa mke Bolivia
Wataalam wa kuhifadhi wanyama nchini Bolivia wameanza kutembea taifa zima wakimsaka chura wa 'kike' atakayejamiana na chura mmoja asiye wa kawaida ambaye wanahofia kizazi chake huenda kikaangamia.
Chura huyo aliyepewa jina la 'Romeo' na aliye na mwenye umri wa miaka 10, anaishi katika maji na amekuwa akimtafuta mwenzake kwa kipindi cha miaka tisa.
Tayari amewekwa katika mtandao wa kuwakutanisha wapendanao akisema : Namtafuta mpenzi juliet.
Wanasayansi kwa sasa wanatufa katika vidimbwi vya maji mbali na mito kwa chura wa kike ambaye atajamiana na chura huyo ili kuhifadhi kizazi hicho.
''Hatutaki yeye apoteze matumaini. lakini wahifadhi hao watalazimika kuongeza kasi ya kumsaka chura huyo wa kike kwa kuwa hawezi kuishi zaidi ya miaka 15''.

 Hiyo inaamaanisha kuwa Romeo anayeishi katika pipa katika kumbukumbu ya Cochabamba amesalia na miaka mitano kuishi ili kuhifafhi kizazi chake


Hizi ni miongoni mwa harakati za wanasayansi kumtafutia mchumba
Ikiwa ni kati ya kampeni ya kuchangisha $15,000, kabla ya siku ya wapendanao ya Valentine, mtandao huo wa kuwakutanisha wapendanao uliweka jina la Romeo pamoja na picha yake mbali na ujumbe unaomuhusu.
''Namtafuta Juliet wangu kwa sababu mimi ni kizazi cha mwisho cha familia yangu''.
''Namtufuta chura wa kizazi changu, la sivyo kizazi changu chote kitaangamia''.
Chanzo-  BBC

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Huyu Ndiye CHURA Wa Aina yake Anae Tafutiwa Mchumba
Huyu Ndiye CHURA Wa Aina yake Anae Tafutiwa Mchumba
https://4.bp.blogspot.com/-J3oqgvdUnmk/Wn7906Nx1tI/AAAAAAAABxY/uJ822vvWKmkvO_n4bz3rfIyB-vncToZzACLcBGAs/s640/chura.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-J3oqgvdUnmk/Wn7906Nx1tI/AAAAAAAABxY/uJ822vvWKmkvO_n4bz3rfIyB-vncToZzACLcBGAs/s72-c/chura.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/huyu-ndiye-chura-wa-aina-yake-anae.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/huyu-ndiye-chura-wa-aina-yake-anae.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy