Jason Derulo na Jordin Sparks waliachana zaidi ya miaka 2 iliyopita. Tangu wakati huo Jordin aliolewa na anatarajia kupata mtoto wake w...
Jason Derulo na Jordin Sparks waliachana zaidi ya miaka 2 iliyopita.
Tangu wakati huo Jordin aliolewa na anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza.
Ni wazi kabisa kwamba Jason bado anajutia kuachana na Jordin. Hii si mara ya kwanza kwa Derulo kusema majuto yake juu ya kumpoteza Jordin.
Ni dhahiri kwamba Jordan kwa sasa ana furaha katika mahusiano yake lakini Jason anaonekana kuiga tabia ya kuacha maoni kwenye picha za Ex wake kama ilivyo kwa Chris Brown na si kama Jason hakuwa na mahusiano yoyote tangu kuachana kwao, Derulo amekuwa kwenye mahusiano na watoto wazuri lakini bado tu anamkumbuka Jordan Sparks na hili linathibitisha kwamba Derulo alikufa akaoza kwa Jordan.
Hili hapa tangazo la Jordin Sparks
COMMENTS