Ikiwa Leo Ni Siku Ya Wapendanao, Hawa Ni Wachezaji Waliyopendana Na Kufanya Makubwa EPL

Pengine huwenda ukawa umesahau, leo ni siku ya wapeda nao ‘Valentine’s Day’ hivyo katika mchezo wa soka wapo wachezaji waliyokuwa wakip...


Pengine huwenda ukawa umesahau, leo ni siku ya wapeda nao ‘Valentine’s Day’ hivyo katika mchezo wa soka wapo wachezaji waliyokuwa wakipendana uwanjani na kuwa na umoja ambao umechangia kwa kiasi kikubwa kupatikana kwa ushindi dhidi ya timu pinzani.

Kwa upendo wao wamekuwa wakijenga mchanganyiko ‘chemistry’ uliyokuwa mzuri ndani na nje ya uwanja na hawa ni wachezaji hao ambao wamewahi na wanaichezea ligi kuu ya soka nchini Uingereza.

1. Frank Lampard na Didier Drogba


2. Darren Anderton na Teddy Sheringham


3. Steve McManaman na Robbie Fowler


4. Robert Pires na Thierry Henry


5. Nolberto Solano na Alan Shearer


6. David Silva na Sergio Aguero


7. Thierry Henry na Fredrik Ljungberg


8. Theo Walcott na Robin van Persie


9. Ryan Giggs na Andy Cole


 10. Laurent Robert na Alan Shearer


11. Ashley Young na  John Carew


12. Mesut Özil na Olivier Giroud

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Ikiwa Leo Ni Siku Ya Wapendanao, Hawa Ni Wachezaji Waliyopendana Na Kufanya Makubwa EPL
Ikiwa Leo Ni Siku Ya Wapendanao, Hawa Ni Wachezaji Waliyopendana Na Kufanya Makubwa EPL
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2AU_dAQf3rOQMg-G-tQsjbKvdiVH_wUPErYxt72Z-RpsF27dbpHP3VzKo-azkwhc3oC7PwNM0W659QGlWImFqJEb_44zLT_6FwspFL7443PeLuCon0DSwKBjyexKV29CvhFo6WtO8Fl0z/s640/epl+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2AU_dAQf3rOQMg-G-tQsjbKvdiVH_wUPErYxt72Z-RpsF27dbpHP3VzKo-azkwhc3oC7PwNM0W659QGlWImFqJEb_44zLT_6FwspFL7443PeLuCon0DSwKBjyexKV29CvhFo6WtO8Fl0z/s72-c/epl+1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ikiwa-leo-ni-siku-ya-wapendanao-hawa-ni.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/ikiwa-leo-ni-siku-ya-wapendanao-hawa-ni.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy