Jamal Malinzi Hali Tete Mahakamani

Kesi inayomkabili aliyewahi kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira nchini Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ya kuhujumu uchumi imeahirishwa mpaka ...


Kesi inayomkabili aliyewahi kuwa Rais wa Shirikisho la Mpira nchini Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ya kuhujumu uchumi imeahirishwa mpaka Feburuary 22, 2018 ya mwaka huu.

Chanzo cha kuahirishwa kwa kesi hiyo ni kutokana na DPP kushindwa kukamilisha kusaini hati ya mashtaka hayo.
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri ambaye anasimamia kesi hiyo ameutaka upande wa Jamhuri kuhakikisha hati hiyo inasainiwa mpaka kufikia tarehe hiyo ili kesi iweze kuendelea mahakakamani hapo.


Awali Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) iliieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wamekwisha kamilisha upelelezi wa kesi hiyo inayowakabili viongozi hao wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Jamal Malinzi Hali Tete Mahakamani
Jamal Malinzi Hali Tete Mahakamani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRx-DNtqF649mBLjMWLdoQAB3R_JXT5NRebYMQKJCfpPSm8D9-M6qJC-_zYSO1uY5b7_qs26lF_hgivYbfDsO8X58aq6tm8DmGkn9xrhT5LwWCljv10o9AJ_-feIoMbYXsdaIM3x-cYkZY/s640/malinzi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRx-DNtqF649mBLjMWLdoQAB3R_JXT5NRebYMQKJCfpPSm8D9-M6qJC-_zYSO1uY5b7_qs26lF_hgivYbfDsO8X58aq6tm8DmGkn9xrhT5LwWCljv10o9AJ_-feIoMbYXsdaIM3x-cYkZY/s72-c/malinzi.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/jamal-malinzi-hali-tete-mahakamani.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/jamal-malinzi-hali-tete-mahakamani.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy