Jhene Aiko Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na Big Sean

Msanii Jhené Aiko amefunguka kuhusu mahusiano yake na Big Sean. Akizungumza na BBC Radio 1Xtra, Jhene alisema kuwa uhusiano wao umepitia...


Msanii Jhené Aiko amefunguka kuhusu mahusiano yake na Big Sean. Akizungumza na BBC Radio 1Xtra, Jhene alisema kuwa uhusiano wao umepitia vikwazo kadhaa.

“Tulikuwa marafiki mwaka ambao nilifiwa na kaka yangu na ndipo tulipo anza kufanya kazi kwa pamoja ikiwemo ‘Beware’ na ‘I’m Gonna Be.’ Alitaka kunipeleka on a date. Nilikuwa nina mchumba, lakini bado nilikwenda … kama rafiki.” Alisema Jhene Aiko.

Mwimbaji huyo amejichora tattoo ya uso wa Sean katika mkono wake


Uhusiano wake na ex ulimalizika mara tu baada ya kujua kwamba mwanaumee wake alioa kisiri, lakini ilikuwa ni vigumu sana kwa yeye kutoka na Big Sean, ambaye alikuwa tayari katika mahusiano na mtu mwingine. “alikuwa na girlfriend niakonani sawa tu bado sisi ni marafiki na tulikuwa tukifanya show kwa pamoja na pia kurekodi nyimbo.” aliongezea Jhene.


Wakati huo huo wa mahojiano, Jhené aliulizwa kama Sean eats the booty like groceries. Lakini Aiko alisema kuwa hapendelei kabisa swala hilo.

 “Kwa sababu tu nimekiimba hicho kitu sio kama nakipenda na ilikuwa kama utani kwangu na niliimba hivyo ili kuunogesha muziki wa ‘Post to be’

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Jhene Aiko Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na Big Sean
Jhene Aiko Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake Na Big Sean
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_An0I4v-zJnWpRgOLWU3H8xr_bC-FUTp0uDBvaAnluRH2xpB8REwiRfj8YRRq4MfZxel_meM2fndU18RnRwQMoYiAzdokSpcKDffqe60HdXBBwsZGeGyCmlM-SlRK4skd8CAWMpux5gp6/s640/big+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_An0I4v-zJnWpRgOLWU3H8xr_bC-FUTp0uDBvaAnluRH2xpB8REwiRfj8YRRq4MfZxel_meM2fndU18RnRwQMoYiAzdokSpcKDffqe60HdXBBwsZGeGyCmlM-SlRK4skd8CAWMpux5gp6/s72-c/big+1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/jhene-aiko-afunguka-kuhusu-mahusiano.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/jhene-aiko-afunguka-kuhusu-mahusiano.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy