JPM , JK , Lowassa Walivyomzika Mzee Kingunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wameungana ...


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wameungana na waombolezaji wengine kuupumzisha mwili wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe nchini,
Mzee Kingunge, katika nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

Mbali na magufuli na Kikwete, viongozi wengine waliohudhuria mazishi hayo ni Marais Wastaafu, Benjamin Mkapa, Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Gharib Bilali na viongozi wengine wengi wa Serikali, vyama na dini.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: JPM , JK , Lowassa Walivyomzika Mzee Kingunge
JPM , JK , Lowassa Walivyomzika Mzee Kingunge
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuufjvPeR-cDAgxgCoD7OBi5Av_cnM2vZwezorsAt39yjbEwpXfBH3sfLZ3tNNe9NOsiyg6sdCumdO1J3pHnUFKsOidXA2pcCF10S3c8DPtMLLbA-ME_oK5gpr26dOzpXz0LC6U0MshDpZ/s640/mazish.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuufjvPeR-cDAgxgCoD7OBi5Av_cnM2vZwezorsAt39yjbEwpXfBH3sfLZ3tNNe9NOsiyg6sdCumdO1J3pHnUFKsOidXA2pcCF10S3c8DPtMLLbA-ME_oK5gpr26dOzpXz0LC6U0MshDpZ/s72-c/mazish.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/jpm-jk-lowassa-walivyomzika-mzee.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/jpm-jk-lowassa-walivyomzika-mzee.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy