Juma Mahadhi Aibeba Yanga SC Vs St Louis Klabu Bingwa Afrika

Mchezaji wa klabu ya Yanga, Juma Mahadhi ameisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya St Louis mchezo wa klabu bingwa A...


Mchezaji wa klabu ya Yanga, Juma Mahadhi ameisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya St Louis mchezo wa klabu bingwa Afrika raundi ya kwanza ulipigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Katika mchezo huo uliyokuwa na ushindani wa aina yake kikosi cha klabu ya Yanga kimefanikiwa kutawala mchezo huo katika kipindi cha kwanza kwa wastani wa asilimia 78 dhidi ya 22 za timu ya Louis licha kutoka sare katika kipindi hicho cha kwanza.

Katika kipindi hiko chwa kwanza straika wa Yanga SC, Obrey Chirwa ameshindwa kuipatia bao timu yake baada ya kukosa penati ambayo imetokana na mchezaji Hassan Kessy kufanyiwa mazambi katika eneo la hatari.

Mchezaji Juma Mahadhi amefanikiwa kuipatia bao timu hiyo wakati wa kipindi chapili baada ya kuchukua nafasi ya Ibrahim Ajib aliyekwenda benchi.


Kwa matokeo hayo sasa timu hizo mbili zinatarajiwa kukutana tena mchezo wa marudiano baada ya wiki moja huko Shelisheli.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Juma Mahadhi Aibeba Yanga SC Vs St Louis Klabu Bingwa Afrika
Juma Mahadhi Aibeba Yanga SC Vs St Louis Klabu Bingwa Afrika
https://1.bp.blogspot.com/--k6xs2Vcg6Q/Wn8IEO6ZulI/AAAAAAAAByI/v922mnUzUd0fh37tOjwlr_IoOGbDQHB9QCLcBGAs/s640/YANGAA.png
https://1.bp.blogspot.com/--k6xs2Vcg6Q/Wn8IEO6ZulI/AAAAAAAAByI/v922mnUzUd0fh37tOjwlr_IoOGbDQHB9QCLcBGAs/s72-c/YANGAA.png
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/juma-mahadhi-aibeba-yanga-sc-vs-st.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/juma-mahadhi-aibeba-yanga-sc-vs-st.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy