Kamanda Mambosasa Atoa Onyo CUF

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa ametoa onyo kwa kikundi cha Wananchi(CUF) baada ya kudai kuwa wamep...


Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa ametoa onyo kwa kikundi cha Wananchi(CUF) baada ya kudai kuwa wamepata taarifa kuwa kuna mtu ametuma kwenye mtandano kuwa vijana wa chama hicho wajikusanye kufanya fujo katika uchaguzi unaoendelea Kinondoni.

Mambosasa ametoa onyo hilo leo katika uchaguzi mdogo unaoendelea Kinondoni na Siha amesema kuwa jeshi la polisi halitamvumilia yoyote atakayetaka kuvuruga uchaguzi huo.

“Kupitia kwenu naomba kutoa onyo kwamba tumepata taarifa kuwa kuna mtu amerusha kwenye mtandao kwamba vijana wa CUF wajikusanye waje kufanya fujo wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza matokeo jeshi la polisi halitamvumilia yoyote atakayetaka kuvuruga uchaguzi huu ambao kimsingi tunakwenda kuumaliza salama ni kukosa ustaarabu na nikukosa utu na kutoitendea haki demokrasia inayompa uhuru Mtanzania yoyote kuchagua mtu anaempenda”, amesema Kamanda Mambosasa alipokuwa akiongea na ITV.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Kamanda Mambosasa Atoa Onyo CUF
Kamanda Mambosasa Atoa Onyo CUF
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibeidjRVGgA2SCsFjH8tfncv9WtsUwQEAxMS1meuMhaTVlqBPLxWjepoRFVZwZkbR83j1iLA2JMw0OhCUlpdq2uZBwYaztTvQmjgwXNV9-V2arsqi1tiAe2CP_HpBGZzoW_ws93zTjTDvv/s640/cuf.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibeidjRVGgA2SCsFjH8tfncv9WtsUwQEAxMS1meuMhaTVlqBPLxWjepoRFVZwZkbR83j1iLA2JMw0OhCUlpdq2uZBwYaztTvQmjgwXNV9-V2arsqi1tiAe2CP_HpBGZzoW_ws93zTjTDvv/s72-c/cuf.PNG
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/kamanda-mambosasa-atoa-onyo-cuf.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/kamanda-mambosasa-atoa-onyo-cuf.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy