Kikosi cha Simba SC vs Ruvu Shooting Klabu ya Simba leo inashuka katika dimba la uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni kusaka pointi 3 mb...
Kikosi cha Simba SC vs Ruvu Shooting
Kocha mkuu wa Klabu hiyo, Pierre Lechantre amepanga kikosi cha kwanza kwa kuanza na nahodha John Bocco , Kapombe, Mzamiru , Kwasi , Mkude, Nyoni, Mlipili, Kichuya, Ndemla na Okwi huku Kitandu, Mavugo na Kazimoto wakianzia benchi.
COMMENTS