Kisa Bongo Fleva . Agness Wa Picha Za Utupu Ashambuliwa

Agness Mmasi MUUZA nyago aliyejipatia umaarufu kwa kutupia picha za utupu mtandaoni, Agness Mmasi ameshambuliwa na mashabiki baada...


Agness Mmasi

MUUZA nyago aliyejipatia umaarufu kwa kutupia picha za utupu mtandaoni, Agness Mmasi ameshambuliwa na mashabiki baada ya kujikita rasmi kwenye Muziki wa Bongo Fleva na kuachia Wimbo wa Danga unaoonekana  kukosa maadili.

Akipiga stori na Mikito Nusu Nusu mara baada ya kuachia ngoma hiyo ambayo imejadiliwa sana kwa sababu ya maneno makali yaliyomo kwenye mashairi yake alisema, ngoma hiyo ameiimba kwa kuanika ukweli wa kile kinachoendelea kwenye jamii.
“Nashangaa wanaonishambulia lakini ninachojua watu wengi


walikuwa hawaelewi nafanya kazi gani ya kunipa umaarufu, nikaona isiwe tabu bora nitimize ndoto yangu ya kuwa msanii wa muziki, sioni kama nimeimba maneno yasiyo na maadili ni vitu ambavyo vipo kwenye jamii, “alisema.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Kisa Bongo Fleva . Agness Wa Picha Za Utupu Ashambuliwa
Kisa Bongo Fleva . Agness Wa Picha Za Utupu Ashambuliwa
https://1.bp.blogspot.com/-hiVMR7tM9YE/WndZ2BxqniI/AAAAAAAAAY8/uGiJ2gC9y1Ao1pJETpqw93ShjsJVAw12ACLcBGAs/s640/Agness3.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-hiVMR7tM9YE/WndZ2BxqniI/AAAAAAAAAY8/uGiJ2gC9y1Ao1pJETpqw93ShjsJVAw12ACLcBGAs/s72-c/Agness3.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/kisa-bongo-fleva-agness-wa-picha-za.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/kisa-bongo-fleva-agness-wa-picha-za.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy