Klabu ya ligi daraja la kwanza yaitoa Man City michuano ya FA

Klabu  ya Wigan Athletic hapo jana ilizima ndoto za vinara wa ligi kuu ya Uingereza Manchester City kutwaa mataji mengi zaidi msimu huu ...


Klabu  ya Wigan Athletic hapo jana ilizima ndoto za vinara wa ligi kuu ya Uingereza Manchester City kutwaa mataji mengi zaidi msimu huu baada ya kuitoa katika michuano ya FA kwa ushindi wa bao 1- 0.

Wigan Athletic walipata matokeo hayo baada ya klabu hiyo ya ligi ya daraja la kwanza nchini Uingereza kustahimili mikikimikiki  ya City katika harakati za kujiwekea ufalme wake wa kutwaa mataji mengi msimu huu.


Katika mchezo kulikuwa na vurugu za hapa na pale hasa baada ya shabiki wa Wigan kumvamia mshambuliaji wa Man City, Sergio Aguero katika mchezo huo uliyopigwa Uwanja wa  DW .


Hata hivyo katika mchezo huo uliyokuwa na mvutano mkubwa mchezaji wa Manchester City, Fabian Delph aliweza kupata kadi nyekundu na kutolewa dakika za kipindi cha kwanza.COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Klabu ya ligi daraja la kwanza yaitoa Man City michuano ya FA
Klabu ya ligi daraja la kwanza yaitoa Man City michuano ya FA
https://1.bp.blogspot.com/-DlwLl9lI1fY/Wovk0BdTbAI/AAAAAAAAClU/Ckaz1sGTPck4r8Nkco3y4-0sgf24A5l-QCLcBGAs/s640/kos%2B1.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-DlwLl9lI1fY/Wovk0BdTbAI/AAAAAAAAClU/Ckaz1sGTPck4r8Nkco3y4-0sgf24A5l-QCLcBGAs/s72-c/kos%2B1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/klabu-ya-ligi-daraja-la-kwanza-yaitoa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/klabu-ya-ligi-daraja-la-kwanza-yaitoa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy