Kocha Simba Aanika Mbinu Za Kuwaua Azam Leo

Kikosi cha timu ya Simba. KOCHA msaidizi wa Simba Mrundi, Masoud Djuma amekiri ugumu wa mechi yao ya leo dhidi ya Azam FC, huku a...



Kikosi cha timu ya Simba.

KOCHA msaidizi wa Simba Mrundi, Masoud Djuma amekiri ugumu wa mechi yao ya leo dhidi ya Azam FC, huku akitaja mbinu za ushindi katika mchezo huo ni kuanza kukabia kwenye lango la wapinzani.

Kauli hiyo, aliitoa hivi karibuni mara baada ya mechi dhidi ya Ruvu Shooting kumalizika iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam iliyomalizika kwa Simba kushinda mabao 3-0.

Simba wanaoongoza ligi wakiwa na pointi 38, leo itashuka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar kuwavaa Azam waliokuwa katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 33 mechi ambayo kila timu inahitaji ushindi ili ijiwekee mazingira mazuri ya ubingwa wa ligi kuu.


Akizungumza na Championi Jumatano, Djuma alisema ; “Kitu cha kwanza tutakachokifanya katika mechi hiyo na Azam ni kutowaruhusu kufika na kucheza kwenye lango letu kwa hofu ya kufanyika makosa, hivyo hatutaki golini kwetu mpira ukae.”

“Kingine, tutaingia uwanjani hapo kwa kuanza kuwakabia Azam kwa kuanzia golini kwao kwa maana ya viungo, mawinga na washambuliaji muda wote wanatakiwa kuwepo kwenye goli la wapinzani wetu. “Kama unavyofahamu, mpira ni mchezo wa makosa hivyo tunataka kutumia makosa yao katika mechi hiyo kuwafunga, “ alisema Djuma.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Kocha Simba Aanika Mbinu Za Kuwaua Azam Leo
Kocha Simba Aanika Mbinu Za Kuwaua Azam Leo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH9awQFcjo-WXy8ale6kTO80yP1cOnmFF8IzpivuCd2iXKBsbFkDZW3hSX9KpY5s59L_6hFy5YyYOaO1k3yv5mDGjmf7md6gArxfemgQM-nCZqNBT1mBaMG973cCAQ5O12pBIgkRRNfdrr/s640/simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH9awQFcjo-WXy8ale6kTO80yP1cOnmFF8IzpivuCd2iXKBsbFkDZW3hSX9KpY5s59L_6hFy5YyYOaO1k3yv5mDGjmf7md6gArxfemgQM-nCZqNBT1mBaMG973cCAQ5O12pBIgkRRNfdrr/s72-c/simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/kocha-simba-aanika-mbinu-za-kuwaua-azam.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/kocha-simba-aanika-mbinu-za-kuwaua-azam.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy