KOREA KASKAZINI Kuonyesha Uimara Wa Jeshi Lake Kabla Ya OLIMPIKI

Magwaride ya kijeshi ya hapo awali yamekuwa yakionyesha uwezo wa kijeshi Korea Kaskazini linatarajiwa kuandaa maadhimisho ya 70 y...


Magwaride ya kijeshi ya hapo awali yamekuwa yakionyesha uwezo wa kijeshi

Korea Kaskazini linatarajiwa kuandaa maadhimisho ya 70 ya gwaride la jeshi lake kabla ya kufanyika kwa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi nchini Korea Kusini.

Gwaride la kila mwaka la Pyongyang linaloadhimisha kuanzishwa kwa jeshi la Korea Kaskazini limekuwa likifanywa kila mwezi Aprili kwa kipindi cha miaka 40.

Hatahivyo vyombo vya habari nchini humo vilitangaza mapema mwaka huu kwamba tarehe ya kufanyika kwa gwaride hilo la kijeshi imebadilishwa hadi Februari 8.
Korea Kaskazini imepuuzilia mbali ukosoaji wa mpango wake ikisema kuwa hakuna mtu aliye na uwezo wa kuishutumu.


”Ni utamaduni na swala muhimu sana kwamba kila taifa duniani linasherehekea uzinduzi wa jeshi lake’ , kilisema chama tawala cha wafanyikazi Rodong Sinmun.


Ni jambo la kawaida kwa Korea Kaskazini kufanya gwaride la kijeshi

Marekani imesema kuwa ingependelea gwaride hilo kutofanyika kwa kuwa kwa sasa watu wanalenga michezo ya Olimpiki.
Siku ya Alhamisi, Korea Kaskazini ilisema kuwa haina mpango wa kukutana na maafisa wa Marekani , kulingana na chombo cha habari nchini Korea Kaskazini KCNA.

Serikali ya Korea Kusini imesema kuwa mwezi uliopita kwamba wanajeshi 13,000 na vifaa 200 vilipatikana karibu na uwanja wa ndege wa Pyongyang katika kile kinachoonekana kuwa gwaride la majaribio.

Wataalam wanasema Korea Kaskazini inatarajiwa kuonyesha silaha zake za masafa marefu.


”Kile tunachotarajiwa kuona katika gwaride hilo la kijeshi ni magari ya kubeba silaha, idadi yake na iwapo yanabeba silaha mpya” , alisema David Schmerler, mchanganuzi wa Korea Kaskazini katika kituo cha James Martin cha masomo ya kuzuia kusambaa kwa silaha

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: KOREA KASKAZINI Kuonyesha Uimara Wa Jeshi Lake Kabla Ya OLIMPIKI
KOREA KASKAZINI Kuonyesha Uimara Wa Jeshi Lake Kabla Ya OLIMPIKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfmZzftVOBBqoostDurDYaRk-M2jXsiQ63EQlSne_Em_wN-1rnkAykufc7mm51t6x6xKnh-pnl5YIxXYrWQNAi5XjGR0YyH_QzQ4XAb_uGnZmnTVmFBtR7TzFMPzac0QpBAMuZpQeOjlie/s640/jeshi+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfmZzftVOBBqoostDurDYaRk-M2jXsiQ63EQlSne_Em_wN-1rnkAykufc7mm51t6x6xKnh-pnl5YIxXYrWQNAi5XjGR0YyH_QzQ4XAb_uGnZmnTVmFBtR7TzFMPzac0QpBAMuZpQeOjlie/s72-c/jeshi+1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/korea-kaskazini-kuonyesha-uimara-wa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/korea-kaskazini-kuonyesha-uimara-wa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy