Kurudiana Na Diva Siwezi – Heri Muziki

Msanii Heri amesema hawezi kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Diva baada ya kuzinguana hivi karibuni. Muimbaji huyo amesema baada ya k...


Msanii Heri amesema hawezi kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Diva baada ya kuzinguana hivi karibuni.

Muimbaji huyo amesema baada ya kuachana na Diva ndio itakuwa mwisho wa yeye kuingia katika mahusiano na mtu maarufu.

“Sikuwa nime-date na mtu maarufu before, wakwanza ni yeye, kwa hiyo baada yaku-date naye imekuwa ni experience kwangu, after that nisingependa ku-date na mtu maarufu.” Heri Muziki ameiambia Habari Today.

“Kurudiana na Diva siwezi, nafikiri hata yeye mwenyewe hawezi kurudiana na mimi, kwa hiyo tunaweza kumake peace hata kama hatutakuwa marafiki kila mtu anaendelea na maisha yake,” ameongeza.


Wawili hao mara baada ya kupishana na kuamua kuachana kulipelekea Diva kutoa sauti ya Heri Muziki katika wimbo ‘Waambie’ ambao Heri alifanya kwa kushirikiana na Mr. Paul pamoja na Mwana FA na Diva kuweka sauti pale alipoondoa sauti ya Heri Muziki ingawa wimbo huo ulishatoka awali.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Kurudiana Na Diva Siwezi – Heri Muziki
Kurudiana Na Diva Siwezi – Heri Muziki
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiS1TGULsVvzrax5f_mE-7PW9-Fa848YwMyKGjNFe_ITO6OEtaUaYEBBU3rA0L_JzhYlJ545YN0r7LudQckleefa0ryEySCRcYmC1tzQi9us2iPh3vHbU1_G494MpKBE3_UPX-qRMDq3UJh/s640/Heri-Muziki.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiS1TGULsVvzrax5f_mE-7PW9-Fa848YwMyKGjNFe_ITO6OEtaUaYEBBU3rA0L_JzhYlJ545YN0r7LudQckleefa0ryEySCRcYmC1tzQi9us2iPh3vHbU1_G494MpKBE3_UPX-qRMDq3UJh/s72-c/Heri-Muziki.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/kurudiana-na-diva-siwezi-heri-muziki.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/kurudiana-na-diva-siwezi-heri-muziki.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy