Lina Iris Amshtaki Kendrick Lamar Kwa Kuiba Mchoro Wake Na Kutumia Katika Video Ya All The Stars

Mwanadada Lina Iris Viktor ambaye ni mzaliwa wa Liberia lakini amekulia jijini London nchini Uingereza. Lina ni mchoraji mzuri sana amb...


Mwanadada Lina Iris Viktor ambaye ni mzaliwa wa Liberia lakini amekulia jijini London nchini Uingereza. Lina ni mchoraji mzuri sana ambaye anaishi na kufanya kazi kati ya New York na London.

Lina ameanzisha kesi dhidi ya Black Panther kwa kutumia mchoro wakebila ridhaa katika nyimbo ya Kendrick Lamar na SZA“All The Stars”kutokana na taarifa walizo zitoa The New York Times.

Ripoti hizo zinasema kuwa wawakilishi wa Black Panther waliwasiliana kwa mara kadhaa na Lina Viktor na kumuambia wanaomba kutumia kazi zake katika video ya All The Stars lakini Lina Viktor alikataa ofa hiyo ya Marvels.


Christopher Robinson, mwanasheria wa Lina Viktor, aliwasiliana na Anthony Tiffith wa Top Dawg Entertainment Jumamosi Februari 10 mwaka huu kuhusu ukiukaji wa hakimilik ya bidhaa ya Lina Viktor .



Lina aliiambia The New York Times, “It’s an ethical issue, because what the whole film purports is that it’s about black empowerment, African excellence — that’s the whole concept of the story. And at the same time they’re stealing from African artists.”

Kendrick aliwashukuru kila msanii aliyehusika na albamu Black Panther katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa Twitter siku ya Jumapili Februari 11.



COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Lina Iris Amshtaki Kendrick Lamar Kwa Kuiba Mchoro Wake Na Kutumia Katika Video Ya All The Stars
Lina Iris Amshtaki Kendrick Lamar Kwa Kuiba Mchoro Wake Na Kutumia Katika Video Ya All The Stars
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEis_JNkqf_SOx69BHQ7Rc7UpKRixCmtveTjMhhrPFA9W0OEYTPY4HIWOkVCL89DcK0gapMwZUeUqv0KGRVeh_dwhRpw4UzHrmLU6JuPgvc27O8rQfyZM-e9ZRp2RJgcVEbOuHaGQVzJ_T0L/s640/lina-viktor-header.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEis_JNkqf_SOx69BHQ7Rc7UpKRixCmtveTjMhhrPFA9W0OEYTPY4HIWOkVCL89DcK0gapMwZUeUqv0KGRVeh_dwhRpw4UzHrmLU6JuPgvc27O8rQfyZM-e9ZRp2RJgcVEbOuHaGQVzJ_T0L/s72-c/lina-viktor-header.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/lina-iris-amshtaki-kendrick-lamar-kwa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/lina-iris-amshtaki-kendrick-lamar-kwa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy