Linah Na Rachel Wajibu Kuhusu Kukopi Ngoma Ya Vanessa Na Maua

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu Linah na Rachel watoe ngoma yao mpya ‘Same Boy’, wamekanusha ngoma hiyo kukopi idea kutoka kwenye ng...


Ikiwa ni siku chache zimepita tangu Linah na Rachel watoe ngoma yao mpya ‘Same Boy’, wamekanusha ngoma hiyo kukopi idea kutoka kwenye ngoma ya Vanessa Mdee na Maua Sama ‘Bounce’.

Linah ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa ngoma yao ina idea tofauti na ile ya kina Vanessa na isitoshe ngoma hiyo ilikuwepo kabla Bounce haijatoka.
“Hii yetu tunazungumzia ile kwamba kwa pamoja tunamtaka mwanaume mmoja lakini ile yao inaelezea wapo na huyo mwanaume lakini hawajuani, sisi ni watu ambao tunajuana,” amesema Linah.

Same Boy ni ngoma ya pili kwa Linah na Rachel kukutana katika ngoma moja baada ya kushirikishwa na kundi la Makomando katika ngoma yao inayokwenda kwa jina la Chap Chap.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Linah Na Rachel Wajibu Kuhusu Kukopi Ngoma Ya Vanessa Na Maua
Linah Na Rachel Wajibu Kuhusu Kukopi Ngoma Ya Vanessa Na Maua
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhb8InS0QRuLDndLpd0TQ5-8CPXEZI99jwlAOpnGDUdtn9imfL7SsNWp9vMaH2hj72hvzRdp1yns6SbMjwll-h2RIRezK4a_03hggAxCYpMc6s5-ybkD1UxABVw6-KqpXZKL7DhPAV94te0/s640/recho+rina.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhb8InS0QRuLDndLpd0TQ5-8CPXEZI99jwlAOpnGDUdtn9imfL7SsNWp9vMaH2hj72hvzRdp1yns6SbMjwll-h2RIRezK4a_03hggAxCYpMc6s5-ybkD1UxABVw6-KqpXZKL7DhPAV94te0/s72-c/recho+rina.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/linah-na-rachel-wajibu-kuhusu-kukopi.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/linah-na-rachel-wajibu-kuhusu-kukopi.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy