Lionel Messi Asherehekea Ushindi Wa Barcelona Akiwa Na Wanae

Staa wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi amethibitisha kuwa ni mwanaume anayejali familia yake baada ya kuposti picha akiwa nyumbani...



Staa wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi amethibitisha kuwa ni mwanaume anayejali familia yake baada ya kuposti picha akiwa nyumbani na watoto wake wawili wakiume.

Messi ambaye ni ni raia wa Argentina ameonekana akifurahi na familia yake nje ya uwanja akiwa na Thiago mwenye umri wa miaka mitano na Mateo mwenye miaka miwili.


Messi amesherehekea ushindi wake kwa kuichachafya Valencia katika michuano ya Copa del Rey hatua ya nusu fainali.

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Lionel Messi Asherehekea Ushindi Wa Barcelona Akiwa Na Wanae
Lionel Messi Asherehekea Ushindi Wa Barcelona Akiwa Na Wanae
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdtm4RgiCBECK7TDPdcN4o7akeTs1hjserWeLRpo2sm7ctEeD_gipd6Q_HUNeXpJ6Op2NzbtgWQTquzWc2MpJag8xcHQ9GVBcl3Uou53ZQv6AO7zkXkMxXa6Z8nu6TNRy0sUa3H3sern2F/s640/lionel-messi-barcelona_1f3hjv68zrc3q1nbwqgc3kdo63.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdtm4RgiCBECK7TDPdcN4o7akeTs1hjserWeLRpo2sm7ctEeD_gipd6Q_HUNeXpJ6Op2NzbtgWQTquzWc2MpJag8xcHQ9GVBcl3Uou53ZQv6AO7zkXkMxXa6Z8nu6TNRy0sUa3H3sern2F/s72-c/lionel-messi-barcelona_1f3hjv68zrc3q1nbwqgc3kdo63.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/lionel-messi-asherehekea-ushindi-wa.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/lionel-messi-asherehekea-ushindi-wa.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy