Luis Enrique Akubali Kupokea Kijiti Kutoka Kwa Antonio Conte

Habari kutoka Hispania zinaeleza kuwa meneja wa zamani wa klabu ya Barcelona, Luis Enrique ameonekana kukubali kurithi mikoba ya k...




Habari kutoka Hispania zinaeleza kuwa meneja wa zamani wa klabu ya Barcelona, Luis Enrique ameonekana kukubali kurithi mikoba ya kocha Antonio Conte ndani ya Chelsea.

Luis Enrique kurithi mikoba ya Conte ndani ya Chelsea
Nafasi ya Conte ndani ya kikosi cha Blues imeonekana kuwa mashakani tangu wiki iliyopita baada ya kupata matokeo mabaya ya kufungwa 3 – 0 dhidi ya Bournemouth na yale ya 4-1 mbele ya Watford siku ya Jumatatu.


Kufuatia mwenendo wa kusuasua kwa kikosi cha Chelsea mmiliki wa timu hiyo Mromania Abramovich anampango wa kumpatia mkataba wa miaka miwili na nusu kocha Enrique mwenye umri wa miaka 47 ambao atakuwa the blues hadi mwaka 2020 hii ni kwa mujibu wa chombo cha Sports.


Meneja wa zamani wa klabu ya Barcelona, Luis Enrique 

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Luis Enrique Akubali Kupokea Kijiti Kutoka Kwa Antonio Conte
Luis Enrique Akubali Kupokea Kijiti Kutoka Kwa Antonio Conte
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjswnC2R-8tA9_Eb4q41eh7ZeIQEpE51pRya0k85cLLxQMKcLVH4DjlJDINPcix11OeGvQ9e3_lGQd7tEbRx2-D1V1mqz7hqHoxAwIReq8-yWqZmiRBEvkVvaRzmVXPRqB83aleGpOgVurm/s640/luisenrique2901abcd.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjswnC2R-8tA9_Eb4q41eh7ZeIQEpE51pRya0k85cLLxQMKcLVH4DjlJDINPcix11OeGvQ9e3_lGQd7tEbRx2-D1V1mqz7hqHoxAwIReq8-yWqZmiRBEvkVvaRzmVXPRqB83aleGpOgVurm/s72-c/luisenrique2901abcd.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/luis-enrique-akubali-kupokea-kijiti.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/luis-enrique-akubali-kupokea-kijiti.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy