Luis Enrique Kurithi Mikoba Ya Conte Ndani Ya Chelsea

Meneja wa zamani wa Barcelona, Luis Enrique yupo mbioni kuchukua mikoba ya Antonio Conte baada ya kikao cha bodi ya klabu ya Chelsea ki...


Meneja wa zamani wa Barcelona, Luis Enrique yupo mbioni kuchukua mikoba ya Antonio Conte baada ya kikao cha bodi ya klabu ya Chelsea kinachotarajiwa kufanyika leo siku ya Jumanne.


Hatima ya Conte kuondoka Chelsea imetokana na matokeo yasiyo ridhisha dhidi ya Watford siku ya Jumatatu na yale ya  Bournemouth.


Habari kutoka Diario Sport zimesema kuwa kocha huyo wa Barcelona, Enrique ni chaguo la kwanza kwa klabu hiyo yenye maskani yake nchini Uingereza.


Enrique mwenye umri wa miaka 47, aliwahi kuzifundisha timu za Roma na Celta Vigo baada ya kutoka Barcelona.

Chombo hicho kimeeleza kuwa timu hiyo imempendekeza beki wazamani wa Barcelona na Chelsea, Juliano Belletti kuwa mkurugenzi wa michezo Stamford Bridge.

Enrique ameisaidia Barcelona kutwaa mataji mawili ya Hispania, matatu ya Spanish Cup na klabu bingwa barani Ulaya mwaka 2015

COMMENTS

Name

Entertainment,110,Fashion,5,Health,5,Job,11,Lifestyle,2,Makala,6,Music,4,News,177,Sports,98,Videos,14,
ltr
item
Habari Today: Luis Enrique Kurithi Mikoba Ya Conte Ndani Ya Chelsea
Luis Enrique Kurithi Mikoba Ya Conte Ndani Ya Chelsea
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnEL4jWloVmvHoedJwgNcFhnlIcJ3gDgyoqYcS0e1GbhHRdcIhH6dOSc1DQotS6C7ipq3S3OGvVjXkhDsTJpjpez-fhp5UxXA9y9UCk5Rw_sy_CRiONFSyd77IE3Mem4PAvkhlaEo_NCFd/s320/fg+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnEL4jWloVmvHoedJwgNcFhnlIcJ3gDgyoqYcS0e1GbhHRdcIhH6dOSc1DQotS6C7ipq3S3OGvVjXkhDsTJpjpez-fhp5UxXA9y9UCk5Rw_sy_CRiONFSyd77IE3Mem4PAvkhlaEo_NCFd/s72-c/fg+1.jpg
Habari Today
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/luis-enrique-kurithi-mikoba-ya-conte.html
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/
http://habaritodaytzz.blogspot.com/2018/02/luis-enrique-kurithi-mikoba-ya-conte.html
true
7010127043980995099
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy